PAPA FRANCIS KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA LA KILUTHERI
Papa Francis
HomeJamii

PAPA FRANCIS KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA LA KILUTHERI

Papa Francis Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Ukonga Dar es Salaam Michael Mgaya ...

MAHAKAMA YA TANZANIA KUONGEZA KASI YA USIKILIZAJI WA KESI
VYUO VIKUU VYAAGIZWA KUTOTOZA ADA KWA FEDHA ZA KIGENI KWA WATANZANIA
MKUTANO WA KIMATAIFA UHAMASISHAJI WA LISHE NA AFYA KWA VIJANA WAFUNGULIWA





Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Ukonga Dar es Salaam Michael Mgaya (wa pili kushoto) akiwa na wazee wa kanisa hilo baada ya kumalizika kwa ibada. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG)


Na Richard Mwaikenda

KIONGOZI Kanisa la Katoliki Duniani, Papa Francis amekubali mwaliko wa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 500 ya kuasisiwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Duniani.


Taarifa hiyo imetangazwa leo wakati wa Ibada ya Jumapili ya kuukaribisha mwaka mpya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule Ukonga, Dar es Salaam.


Maadhimisho hayo yatafanyika hivi karibuni eneo ambapo kanisa hilo liliasisiwa nchini Ujerumani ambapo kutakuwa na shamrashamra za kila aina zitakazoshuhudiwa na wageni kutoka nchi mbalimbali.


Kwa hapa nchini maadhimisho hayo yatafanyika katika Chuo cha Dini cha Makumira, mkoani Arusha, ambapo mnara wa kumbukumbu utajengwa. Kanisa hilo liliasisiwa mwaka 1557.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PAPA FRANCIS KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA LA KILUTHERI
PAPA FRANCIS KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 500 YA KANISA LA KILUTHERI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmRc4ENGNp2kAvnjoCDghAam09lSWV6mapWqIqLxjNDyNaSyCDP0eMD1UVHVjZf5I7VHim5qmWNnJ3khlhlC3GMt5uGSJVX7CzNUxE1R96tkbH-Vy5VjQh4HI27km3780ZQTv8GS3u8RA/s640/papa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmRc4ENGNp2kAvnjoCDghAam09lSWV6mapWqIqLxjNDyNaSyCDP0eMD1UVHVjZf5I7VHim5qmWNnJ3khlhlC3GMt5uGSJVX7CzNUxE1R96tkbH-Vy5VjQh4HI27km3780ZQTv8GS3u8RA/s72-c/papa.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/papa-francis-kuwa-mgeni-rasmi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/papa-francis-kuwa-mgeni-rasmi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy