MKUTANO WA KIMATAIFA UHAMASISHAJI WA LISHE NA AFYA KWA VIJANA WAFUNGULIWA
HomeJamii

MKUTANO WA KIMATAIFA UHAMASISHAJI WA LISHE NA AFYA KWA VIJANA WAFUNGULIWA

Mgeni rasmi wa ufunguzi wa Mkutano wa uhamasishaji wa Afya na lishe kwa vijana (hasa kwa wasichana), Mkurugenzi wa Kinga,Wizara y...

PSPF YADHAMINI MAHAFALI YA PILI YA TAIFA YA WAHITIMU WA ELIMU YA JUU WALIOFANYA VIZURI KWENYE VITIVO VYAO
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUTANA NA WATAALAM WA MFUMO WA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (GIS) UTAKAOTUMIKA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UKUSANYAJI TAKWIMU
TANZANIA NA KOMORO ZAAHIDI KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO


Mgeni rasmi wa ufunguzi wa Mkutano wa uhamasishaji wa Afya na lishe kwa vijana (hasa kwa wasichana), Mkurugenzi wa Kinga,Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na watoto Dkt.Neema Rusibamayila akisoma hotuba wakati wa mkuitano huo ambao wa siku tatu unaofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
 

Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) Dkt.Joyce Kaganda akizungumza kwenye mkutano huo.

Baadhi wa washiriki wa mkutano huo wakifuatilia uwasilishaji wa mada.Mkutano huo wa Kimataifa unawashirikisha viongozi wa juu wa serikali, mashirika na taasisi binafsi pamoja na wadau wa maendeleo nchini na nje ya nchi.
 

Picha ya pamoja ya washiriki wa Mkutano huo ambao unalengo la kutunza afya ya vijana hususani wasichana kwani ni wazazi wa baadae kutoka wanapozaliwa hadi makuzi yao .Nchi zinazoshiriki mkutano huo ni pamoja na Tanzania,Ethiopia,Senegal na Kenya(Picha zote na Rayson Mwaisemba-Wizara ya Afya)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUTANO WA KIMATAIFA UHAMASISHAJI WA LISHE NA AFYA KWA VIJANA WAFUNGULIWA
MKUTANO WA KIMATAIFA UHAMASISHAJI WA LISHE NA AFYA KWA VIJANA WAFUNGULIWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG1vby6Q4bCrQvlrDH6qJiL2a6S4wmznEFgQXQ1oLedAR7sEWJ8vZLjwdNXfi84tewjhjIq5g6RKCLZLQS0oo8uGpeNJCMoPojQ212A1ixJmXHNfDeb6AZenna4RjAMbNP9S39WKMSito/s640/afy1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG1vby6Q4bCrQvlrDH6qJiL2a6S4wmznEFgQXQ1oLedAR7sEWJ8vZLjwdNXfi84tewjhjIq5g6RKCLZLQS0oo8uGpeNJCMoPojQ212A1ixJmXHNfDeb6AZenna4RjAMbNP9S39WKMSito/s72-c/afy1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/mkutano-wa-kimataifa-uhamasishaji-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/mkutano-wa-kimataifa-uhamasishaji-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy