MHE. MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI
HomeJamii

MHE. MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Kamumusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuizindua kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni ...

AIRTEL NA VETA WASHIRIANA KUANDAA KONGAMANO LA ELIMU KUPITIA MTANDAO
TCRA WATOA LESENI KWA WATOA HUDUMA ZA HABARI MTANDAONI
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, AKIWEMO RAIS MSTAAFU MHE. BEN MKAPA, MAKAMU MWKT WA CCM BARA, MWKT WA JUMUIYA YA WAZAZI (CCM), MWKT UWT, MWKT WA UVCCM IKULU DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Kamumusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuizindua kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala,  Mussa Azan Zungu. Kushoto ni Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete. Wapili kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kamu1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Kamusi Kuu ya Kiswahili kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 19, 2017. 
 
kamu2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kamusi Kuu ya Kiswahili kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017 (kushoto)  ni  Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu. 
 
kamu3 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu (kulia) nakala ya Kamusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuzindua kamusi hiyo kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, Juni 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MHE. MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI
MHE. MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI
http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2017/06/kamu4.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mhe-majaliwa-azindua-kamusi-kuu-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/mhe-majaliwa-azindua-kamusi-kuu-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy