MKURUGENZI TAASISI YA ILTC YA JIJINI MWANZA AOMBA SERIKALI KUZISAIDIA TAASISI BINAFSI ELIMU.
HomeJamii

MKURUGENZI TAASISI YA ILTC YA JIJINI MWANZA AOMBA SERIKALI KUZISAIDIA TAASISI BINAFSI ELIMU.

Na George Binagi-GB Pazzo Taasisi ya lugha ya International Language Traing Centre iliyopo Isamilo Jijini Mwanza, imeiomba serikal...

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, DKT. PHILIP MPANGO AIPONGEZA PPF KWA KUWEKEZA KWENYE VIWANDA
WAZIRI MBARAWA AITAKA BODI YA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADILIAJI MAJENZI KUJITANUA ZAIDI
TIGO WATOA SIMU 1,200 ZENYE THAMANI YA 113M/- KWA AJILI YA ZOEZI LA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO MJINI GEITA






Na George Binagi-GB Pazzo

Taasisi ya lugha ya International Language Traing Centre iliyopo Isamilo Jijini Mwanza, imeiomba serikali kuzisaidia taasisi binafsi za kelimu nchini ili kutimiza vyema wajibu wake.



Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Mwalimu Charles Mombeki (pichani), ameyasema hayo wakati akizungumza na Lake Fm ya Mwanza na kuomgeza kwamba ikiwa serikali itafanya hiyo, itazisaidia taasisi hizo kutekeleza vyema wajibu wa kutoa elimu bora kwa wananchi.



Amesema si vyema serikali kuzifungia taasisi binafsi za kielimu ikiwemo shule na vyuo pindi zinapokabiriwa na changamoto za kielimu badala yake inaweza kuzisaidia katika kuondokana na changamoto hizo.



Taasisi ya International Language Training Centre inajihusisha na uendelezaji wa lugha mbalimbali ikiwemo lugha za asili, Kiswahili, kiingereza, kifaransa na nyinginezo.

Bonyeza hapa kusoma zaidi
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKURUGENZI TAASISI YA ILTC YA JIJINI MWANZA AOMBA SERIKALI KUZISAIDIA TAASISI BINAFSI ELIMU.
MKURUGENZI TAASISI YA ILTC YA JIJINI MWANZA AOMBA SERIKALI KUZISAIDIA TAASISI BINAFSI ELIMU.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpVnoAgSfwc9z4KGnsFuZ50RG6NwvZ1BkaYWrF4pCkbOHzY8qqdWpRwidqtlL5KQ6A0EXLiqv-qEhVzUEI6iODRJ0GmnOn6yqLnJSVoEevv7ozlFTCbvLCyyYs1cm0TvGQq-1du6-TtIg/s640/MOMBEKI.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpVnoAgSfwc9z4KGnsFuZ50RG6NwvZ1BkaYWrF4pCkbOHzY8qqdWpRwidqtlL5KQ6A0EXLiqv-qEhVzUEI6iODRJ0GmnOn6yqLnJSVoEevv7ozlFTCbvLCyyYs1cm0TvGQq-1du6-TtIg/s72-c/MOMBEKI.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/mkurugenzi-taasisi-ya-iltc-ya-jijini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/mkurugenzi-taasisi-ya-iltc-ya-jijini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy