Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jere...
Naibu
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na
Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie Zoungana,
aliyekuja kuzungumza nae na kubadilishana uzoefu wa kazi, kabla ya
kuanza kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma
Naibu
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na
ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, ukiongozwa na
Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie Zoungana (wa
pili kulia).
Naibu
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimsikiliza
Mkurugenzi wa Mradi wa USAID wa Boresha Afya, Ndg. Dustan Bishanga (wa
pili kushoto) akizungumza leo katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake
Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).
COMMENTS