MAONYESHO YA SITA YA MADINI YA VITO YAANZA RASMI LEO JIJIJI ARUSHA
HomeJamii

MAONYESHO YA SITA YA MADINI YA VITO YAANZA RASMI LEO JIJIJI ARUSHA

 Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera akifatilia jambo wakati alipokuwa anazindua rasmi maonyesho ya sita ya vito na madini yanayofa...

WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABOLOZI WA CUBA, ZAMBIA NA BURUNDI
WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA MABALOZI, AWATAKA WAKATAFUTE WAWEKEZAJI
HABARI NJEMA KWA WANA UKEREWE, KUPATA UMEME JUNI 2018

 Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera akifatilia jambo wakati alipokuwa anazindua rasmi maonyesho ya sita ya vito na madini yanayofanyika katika hotel ya Mounti Meru ilipo jijini
Arusha (Habari picha na Woinde Shizza)




 Meya wa jiji la Arusha naye aliuzuria katika uzinduzi wa maonyesho haya ya vito na madini.



Na Woinde Shizza



Wananchi wengi wanaoishi karibu na migodi mbalimbali inayochimba madini  ya aina mbalimbali wamekuwa hawanufaiki kupitia madini hayo kutokana na viongozi wao wa maeneo husika kutokuwa na  usiano mzuri
na wamiliki wa migodi hiyo.




Hayo yamebainishwa na mbunge wa jimbo la Simanjiro Jemsi Ole Milya wakati akiongea katika uzinduzi wa maonyesho   vito na madini  yaliofunguliwa leo jijini hapa



Alisema kuwa japo kuwa madini mengi yenye dhamani yanachibwahapa nchini lakini ukifuatilia maisha ya wananchi wa maeneo ambayo
madini hayo hayafananikabisa nao kwani asilimia kubwa ya wananchi hao ni maskini sana  na wengine awajiwezi




Asilimia kubwa  ya wananchi ambao madini hayo yanachibwa ukifatilia maisha yao hayafai kwani ni duni  hawana maendeleo  yoyote, kwa ufupi awanufaiki na madini ambayo yanatoka katika maeneo yao hivyo ni wajibu waserikali kuangalia upya swala hili na kuanza kufatilia kwani ni kitu cha kusikitisha unakuta mwananchi mfano wa
mererani madini yanachibwa kwao lakini ukiangalia maisha anaoyoishi uwezi sema
anakaa sehemu Tanzanite inatokea kwa jinsi anashida”alisema
Milya



Naye  kaimu naibu katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini Jemsi Mdoe  alisema kuwa sera ipo na sheria ipo ya kuakikisha wananchi ambaowanazunguka maeneo ya migodi wanasaidiwa  na migodi hiyo lakini ukifuatilia kwa kiasi kikubwa wale wananchi ambao hawanufaiki ni wale ambao unakuta viongozi wao wa mtaa au kijiji awanaushirikiano mzuri na viongozi au wawekezaji waliowekeza katika maeneo yao ,hivyo ni wajibu wawanchi pamoja na viongozi kurikiana kwa pamoja na kuungana ili kuweza kusaidia



Akizungumzia maonyesho haya ya vito na madini   (Arusha Gem Fair) alisema kuwa haya ni maonyesho ya sita kufanyika na yanafanyika kwa muda wa siku tatu lengo ikiwa   kutimiza dira iliopo  katika sera ya madini ya mwaka 2009  inayosisitiza kuwa Tanzania iwe kitovu cha madini .

Alisema kuwa sekta ndogo ya vito inachangia katika uchumi wa
maendeleo ya jamii  hivyo maonyesho haya  ni fursa kwa wachimbaji  na wafanyabiashara wa hapa nchini kuweza kupata fursa ya kujitangaza zaidi


Unajua  wageni wengi kutoka nchi mbalimbali wanauthuria katika maonyesho haya wengine wanakuja kununua madini wengine wameleta madini yao ili yauzwe kwaiyo hii ni fursa ya pekee ya wachimbaji wetu wa ndani kujitangaza na kupanua soko la zaidi kikubwa zaidi  waangalie ni namna gani watayafanya madini yao yawe na dhamani zaidi”alisema
Jemsi





 baadhi ya madini yaliyoletwa
katika maonyesho

Wananchi wengi wanaoishi karibu na migodi madini hayo yanatoka hayafananikabisa nao kwani asilimia kubwa ya wananchi hao ni maskini sana  na wengine awajiwezi


Asilimia kubwa  ya wananchi ambao madini hayo yanachibwa ukifatilia maisha yao hayafai kwani ni duni  hawana maendeleo  yoyote ,kwa ufupi awanufaiki na madini ambayo yanatoka katika maeneo yao hivyo ni wajibu waserikali kuangalia upya swala hili na kuanza kufatilia kwani ni kitu cha kusikitisha unakuta mwananchi mfano wa Mererani madini yanachibwa kwao lakini ukiangalia maisha anaoyoishi uwezi sema anakaa sehemu Tanzanite inatokea kwa jinsi anashida”alisema Milya

Naye  Kaimu Kaibu katibu mkuu wa wizara ya Nishati na madini Jemsi Mdoe  alisema kuwa sera ipo na sheria ipo ya kuakikisha wananchi ambao wanazunguka maeneo ya migodi wanasaidiwa  na migodi hiyo lakini ukifuatilia kwa kiasi kikubwa wale wananchi ambao hawanufaiki ni wale ambao unakuta viongozi wao wa mtaa au kijiji awanaushirikiano mzuri na viongozi au wawekezaji waliowekeza katika maeneo yao, hivyo ni wajibu wawanchi pamoja na viongozi kushirikiana kwa
pamoja na kuungana ili kuweza kusaidia









Akizungumzia maonyesho haya ya  madini ya
vito   (Arusha Gem Fair )alisema kuwa haya ni
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAONYESHO YA SITA YA MADINI YA VITO YAANZA RASMI LEO JIJIJI ARUSHA
MAONYESHO YA SITA YA MADINI YA VITO YAANZA RASMI LEO JIJIJI ARUSHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzCvgz_c9Z2yYUqc3vyLmrIAw5qpSoU1cHb3jg13EZWrVdJKfNDe-P3eXt0PTl6CE_UyYSBSfxYnECBV26Riig9Xjr2Y4FM6gDE3G1pR6s4YrMeArRFnVUGkneEfN_y0aPvK3tRk3x1Zq4/s640/DSC_0023.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzCvgz_c9Z2yYUqc3vyLmrIAw5qpSoU1cHb3jg13EZWrVdJKfNDe-P3eXt0PTl6CE_UyYSBSfxYnECBV26Riig9Xjr2Y4FM6gDE3G1pR6s4YrMeArRFnVUGkneEfN_y0aPvK3tRk3x1Zq4/s72-c/DSC_0023.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/maonyesho-ya-sita-ya-madini-ya-vito.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/maonyesho-ya-sita-ya-madini-ya-vito.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy