Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Godfrey Tarimo mwenye umri wa miaka ...
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimjulia hali Godfrey Tarimo mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni mmoja
wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa Arusha ya Mt. Meru,
Godfrey ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali waliopata wanafunzi wa
Lucky Vincent. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimjulia hali Doreen Mshana mwenye umri wa miaka 13ambaye ni
mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa Arusha ya Mt.
Meru, Doreen ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali waliopata wanafunzi
wa Lucky Vincent.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sadia Isamel Awadhi mwenye umri wa miaka 11
ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa
Arusha ya Mt. Meru, Sadia ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali
waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent.
COMMENTS