Wakazi wa Mikocheni B wanaounda Chama cha Fiends of Oceans wakisafisha fukwe ya Escape One katika uzinduzi wa kampeni ya Okoa Bahari...
Wakazi
wa Mikocheni B wanaounda Chama cha Fiends of Oceans wakisafisha fukwe
ya Escape One katika uzinduzi wa kampeni ya Okoa Bahari ikiwa ni moja
ya juhudi za kuweka mazingira safi ya bahari ikiambatana na kuunga
kampeni ya kimataifa ya kutunza fukwe na mazingira ya bahari kuelekea
kutimiza Agenda ya mwaka 2030 ya mpango wa maendeleo ya Umoja wa
mataifa. Kampeni hiyo inaratabiwa na kampuni ya Koncept na usafi huo
ulifanyika mapema mwisho wa wiki iliyopita.
|
Friends
of oceans wakiendelea na usafi wa fukwe ya Escape one ikiwa kama
uzinduzi wa kuanza usafi huo kwa kila mwezi na pia kuendelea kutoa elimu
kwa umma kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira na rasilimali za bahari
|
Usafi
ukiendelea katika fukwe ya Escape One ambapo kulikutwa chupa za
bia,makopo ya maji, sindano na vingi ambavyo ni hatari kwa afya ya
watumiaji wa fukwe hiyo mapema mwishoni wa wiki iliyopita .
|
Friends
of Ocean wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza usafi
katika fukwe ya Escape One Mikocheni B kama uzinduzi wa kampeni ya OKOA
BAHARI yenye lengo ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka mazingira safi ya
bahari ikiambatana na kuunga kampeni ya kimataifa ya kutunza fukwe na
mazingira ya bahari kuelekea kutimiza Agenda ya mwaka 2030 ya mpango wa
maendeleo ya Umoja wa mataifa .Kampeni hiyo inaratabiwa na kampuni ya
KONCEPT
|
Mkurungezi
Mtendaji wa Koncept Krantz Mwantepele (mwenye tisheti nyekundu) ambao
ni waratibu wa kampeni hii ya OKOA BAHARI akiwa na wadau wa Friends of
Ocean wakati wa usafi uliofanyika katika fukwe ya Escape One
|
Muasisi
na Kiongozi wa Friends Ocean Boss Brown (mwenye tisheti ya kijani)
akifafanua jambo mara baada ya kumaliza usafi katika fukwe ya Escape One
ikiwa ni uzinduzi wa kampeni ya Okoa Bahari ambayo katika uzinduzi wa
kampeni ya OKOA BAHARI yenye lengo ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka
mazingira safi ya bahari ikiambatana na kuunga kampeni ya kimataifa ya
kutunza fukwe na mazingira ya bahari kuelekea kutimiza Agenda ya mwaka
2030 ya mpango wa maendeleo ya Umoja wa mataifa .Kampeni hiyo
inaratabiwa na kampuni ya KONCEPT
|
Mkurungezi
Mtendaji wa Koncept Krantz Mwantepele (mwenye tisheti nyekundu) ambao
ni waratibu wa kampeni hii ya OKOA BAHARI akifafanua jambo kwa wadau wa
Friends of ocean mara baada ya kumaliza usafi katika Fukwe za Escape One
. OKOA BAHARI yenye lengo ikiwa ni moja ya juhudi za kuweka mazingira
safi ya bahari ikiambatana na kuunga kampeni ya kimataifa ya kutunza
fukwe na mazingira ya bahari kuelekea kutimiza Agenda ya mwaka 2030 ya
mpango wa maendeleo ya Umoja wa mataifa
Fukwe ya Escape One mara baada ya kusafishwa na wadau wa Friends Of Ocean mwishoni wa wiki iliyopita
|
N;B kwa yoyote anayependa kujiunga na Friends of Ocean au kujua kazi zetu wasiliana nasi Simu/Whatsapp 0658123310 /0625566775 Email;krantz.charles@koncept.co.tz
COMMENTS