VIJANA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATILETA MAENDELEO YA BARA LA AFRIKA
HomeJamii

VIJANA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATILETA MAENDELEO YA BARA LA AFRIKA

Naibu Waziri wa Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla akifungua Kongamano la Vijana barani afrika juu ya...

AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAJENERALI WANAOTARAJIA KUSTAAFU
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA TRIONI MOJA KUTOKA GLOBAL FUND KUSAIDIA TB,UKIMWI NA MALARIA
WAZIRI MBARAWA AUFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) JIJINI DAR ES SALAAM


Naibu
Waziri wa Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla akifungua Kongamano la Vijana barani afrika juu ya Maendeleo barani Afrika.

Washiriki wa Kongamano hilo Vijana kutoka nchi Mbalimbali wakifatilia Hotuba ya Dk. Kigwangala




Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
 
Vijana barani Afrika wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kueleta Maendeleo hili kufikia malengo hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya Teknolijia na Viwanda.

Hayo yamesemwa leo na
Naibu Waziri wa Afya, Mandeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla, alipokuwa akifungua kongamano la Vijana barani Afrika lililoandaliwa na Tasisi ya Uongozi Institute jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwa Niaba ya Makamu wa Rais, Dkt. Kigwangala amesema kuwa mara zote vijana wanapokusanyika na kujadili maendeleo ya bara la Afrika ni muhimu sana kwani leo vijana ndio wadau wakubwa katika swala zima la maendeleo ya bara lao.

“Inaeleweka kabisa ukuaji wa bara la Afrika unategemea vijana ndio maana ajenda ya 2063 inahusisha ubunifu , Nishati , utamaduni na swala zima la siasa safi kama serikali tunawahimiza vijana kujitambua na kuwawezesha kufikia malengo hili kuweza kupambana na vikwazo vinavyo wakabili” amesema Kigwangala.

Ameongeza kuwa vijana wanatakiwa kutambua vikwazo vinavyo wakabili kama fursa ya kujipatia maendeleo kwa kutatua vikwazo hivyo kwa ajili ya maendeleo ya vijana wa kesho.
Amesema mjadala wa leo sio tu kwa ajili ya Vijana bali ni kwa ajili ya maendeleo ya bara la Afrika kwa kuwa na sera zitakazowawezesha vijana.

 
Rais wa Vijana Barani Afrika, Francine Muyumba akizungumza na Vijana mbalimbali kutoka nchi mbalimbali ambao walishiriki kongamno hilo la Vijana washiriki wa Kongamano wakisikiliza kwa makini.

Mmoja wa Vijana kutoka nchini Nigeria, Arinze Obiezue akitoa neno la shukrani kwa naiba ya washiriki wa kongamano hilo.


Viongozi wa meza kuu wakiongoza na Naibu Waziri wa Afya, Mandeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla (wa pili kushoto) wakisikila maneno ya shukrani kutoka kwa kijana.

Picha ya pamoja ya Naibu Waziri na Washiriki wa Kongamano hilo
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIJANA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATILETA MAENDELEO YA BARA LA AFRIKA
VIJANA WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATILETA MAENDELEO YA BARA LA AFRIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR-FpyDLW3Z-mxE3N_pMGL6L_UiCLDlkqsdEGcdm4JuPtLi9XlWKnvLEtcBvMEvnCzP9SPFUjS_A3c1aGUaVhxk8VV9ZU4kLJh0_OtECioCbHqKFKre4ZnDwydpn6wfUY49qxgGmd381o/s640/_MG_0034.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR-FpyDLW3Z-mxE3N_pMGL6L_UiCLDlkqsdEGcdm4JuPtLi9XlWKnvLEtcBvMEvnCzP9SPFUjS_A3c1aGUaVhxk8VV9ZU4kLJh0_OtECioCbHqKFKre4ZnDwydpn6wfUY49qxgGmd381o/s72-c/_MG_0034.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/vijana-watakiwa-kuwa-mstari-wa-mbele.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/vijana-watakiwa-kuwa-mstari-wa-mbele.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy