TAARIFA YA KIFO BRIGEDIA JENERALI ALBERT C FRISCH (MSTAAFU)
HomeJamii

TAARIFA YA KIFO BRIGEDIA JENERALI ALBERT C FRISCH (MSTAAFU)

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo   : “ N G O M E ”         Makao Makuu ya Jeshi...

PICHA ZA MATUKIO YA MAHAFALI YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAAMA LUSHOTO
CHUO KIKUU CHA ARDHI CHATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI 104 WALIOFAULU
MWALIMU AFARIKI KATIKA MKUTANO WA CHAMA CHAO CHA CWT JIJINI DAR ES SALAAM

K:\logo[3].png

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO

Simu ya Upepo   : “N G O M E        Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM  22150463        Sanduku la Posta 9203,
Telex            : 41051            DAR ES SALAAM,  18Aprili, 2017.
Tele Fax        : 2153426
Baruapepe    : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti        : www.tpdf.mil.tz
       
Taarifa ya Kifo kwa Vyombo vya Habari
C:\Users\James\Desktop\IMG-20170418-WA0002.jpg
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Albert Costantino Frisch (mstaafu) kilichotokea tarehe         13 Aprili 2017.
Marehemu Brigedia Jenerali Albert Costantino Frisch (mstaafu)  alizaliwa tarehe 13 Novemba 1944, mtaa wa Uhuru,  Tarafa ya Kariakoo, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.  Alisoma na kuhitimu Shule ya Msingi mkoani Dar es Salaam na baadaye kuendelea na masomo ya Sekondari katika Shule ya Sekondari St. Joseph Convert School, Dar es Salaam hadi alipohitimu Kidato cha Nne mwaka, 1963.
…/2


-2-
Marehemu Brigedia Jenerali Albert Costantino Frisch (mstaafu), alijiunga na JWTZ tarehe 07 Desemba 1964 na kutunukiwa Kamisheni tarehe 22 Juni 1967.  Alistaafu Utumishi Jeshini kwa Heshima tarehe 30 Juni 1999.
Katika utumishi wake Marehemu alishika Nyadhifa mbalimbali Ikiwemo Mkaguzi Mkuu wa Jeshi Makao Makuu mpaka anastaafu.
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuagwa rasmi tarehe 20 Aprili 2017 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kuanzia saa 10:30 Asubuhi.
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU
BRIGEDIA JENERALI ALBERT COSTANTINO FRISCH (MSTAAFU)
AMINA

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P  9203,   Dar es Salaam,  Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0756-716085.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAARIFA YA KIFO BRIGEDIA JENERALI ALBERT C FRISCH (MSTAAFU)
TAARIFA YA KIFO BRIGEDIA JENERALI ALBERT C FRISCH (MSTAAFU)
https://lh3.googleusercontent.com/Xy0vur7FZOSkKnsNq6VTU1SQF7VktxMmkKPpHku3QOTrg4JpypVAoB47nJnBvG-NuXMQfRto9_dGld0Zy7_U_xt_9ZGLDpVRZWgoWdAPpDP_rrXzc2M3czQEMwMWlASXHpC2wZbxI6Umi_INEw
https://lh3.googleusercontent.com/Xy0vur7FZOSkKnsNq6VTU1SQF7VktxMmkKPpHku3QOTrg4JpypVAoB47nJnBvG-NuXMQfRto9_dGld0Zy7_U_xt_9ZGLDpVRZWgoWdAPpDP_rrXzc2M3czQEMwMWlASXHpC2wZbxI6Umi_INEw=s72-c
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/taarifa-ya-kifo-brigedia-jenerali.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/taarifa-ya-kifo-brigedia-jenerali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy