TTCL YANOGESHA SHEREHE ZA CHRISMAS VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR
HomeJamii

TTCL YANOGESHA SHEREHE ZA CHRISMAS VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima...

RAIS MAGUFULI ALIVYOCHATI NA WANANCHI NDANI YA PANTONI JIJINI DAR LEO
ATE YAZINDUA TUZO ZA KUMPATA MWAJIRI BORA KWA MWAKA WA 2017
PROFESA MKUMBO AELEKEZA MAMLAKA ZA MAJI KUBUNI VYANZO VYA MAPATO





Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi mfuko wa unga, . TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi.
 
 
 

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili kushoto) akimkabidhi mbuzi Mkurugenzi Msaidizi wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismas.
 
 

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa tatu kulia) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA maji ikiwa ni moja ya bidhaa zilizotolewa. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismas. 
 
 

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mfuko wa unga Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA, Evans Tegete ikiwa ni baadhi ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismas. 
 
 

Picha ya pamoja ya baadhi ya watoto kutoka vituo vyote vilivyosaidiwa na viongozi wao. 
 
 
 

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili kushoto) akimkabidhi mbuzi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Evans Tegete. 
 
 

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund Mbagala Chamazi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya TTCL kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. 
 
 

Picha ya pamoja baada ya shughuli ya kukabidhi misaada hiyo.
 
 

Baadhi ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakibeba sehemu ya misaada waliyokabidhiwa na TTCL. 
 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TTCL YANOGESHA SHEREHE ZA CHRISMAS VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR
TTCL YANOGESHA SHEREHE ZA CHRISMAS VITUO VYA WATOTO YATIMA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhV7ZbcCJMrm580WQEj8KihYDnjWoCNmoHb67wq-2CYYSdVljtmrqN8Fkdlt5jLzn20R7uNLKxRif4mAyTBErgx8ra9rN7AbKdFITR7n2YXApxsLH_YC5DhO8JrOgRXqXfDH7JgdwUVWFk/s640/0d891fab-fc7b-48fd-9e66-444bca043836.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhV7ZbcCJMrm580WQEj8KihYDnjWoCNmoHb67wq-2CYYSdVljtmrqN8Fkdlt5jLzn20R7uNLKxRif4mAyTBErgx8ra9rN7AbKdFITR7n2YXApxsLH_YC5DhO8JrOgRXqXfDH7JgdwUVWFk/s72-c/0d891fab-fc7b-48fd-9e66-444bca043836.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/ttcl-yanogesha-sherehe-za-chrismas.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/ttcl-yanogesha-sherehe-za-chrismas.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy