RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINI
HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Nehemiah Eliachim Osoro kuwa mwenyekiti wa Kamati Maalu...

BENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ)YAIBUKA KIDEDEA KATIKA MWAJIRI BORA ZAFICOW
MAONI YA WASHIRIKI WA MAFUNZO WA MFUMO MPYA WAKUANDAA BAJETI ZA SERIKALI ZA MITAA
WITO WATOLEWA KWA WANANCHI KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WA UTAFITI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Nehemiah Eliachim Osoro kuwa mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa mjumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Oswald Joseph Mashindano kuwa mjumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Casmir Sumba Kyuki kuwa mjumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Usaje Benard Usubisye kuwa mjumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nadrew Wilson Massawe kuwa mjumbe Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Butamo Kasuka Philip kuwa mjumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini baada ya kuwaapisha kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na Gabriel Pascal Malata na wana-Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017. 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiwa kwenye picha ya pamoja wana-Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017 .
(PICHA NA IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINI
RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUsdZAvUFO04bozK2IMGVziCZhiTNoZrKnI0tQ6vbBvNR1kfQSVQ8ULx9Cn_GzgIigwwyB0n0FbfGFYpbVUxoynRydCdnNm5QiMTwSynEurK3nVxCY1Y3XdzgtdAJ2RZ45u7Ln6nFyhgw9/s640/tu1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUsdZAvUFO04bozK2IMGVziCZhiTNoZrKnI0tQ6vbBvNR1kfQSVQ8ULx9Cn_GzgIigwwyB0n0FbfGFYpbVUxoynRydCdnNm5QiMTwSynEurK3nVxCY1Y3XdzgtdAJ2RZ45u7Ln6nFyhgw9/s72-c/tu1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-awaapisha-wajumbe-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-awaapisha-wajumbe-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy