Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsalimia Mtoto Ivan (miezi7)akiwa katika Viwanja vya Bunge na Mama yake Mariam Zablon kutoka Bukombe mkoa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsalimia Mtoto Ivan (miezi7)akiwa katika Viwanja vya Bunge na Mama yake Mariam Zablon kutoka Bukombe mkoani Geita walipotembelea bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017 kujionea shughuli za Bunge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Injinia John Kijazi wakati alipomtembelea Waziri mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo Novemba 10/2017 kwa mazungumzo ya kikazi.Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge,Kazi Ajira,Vijana na Walemavu Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida Martha Mlata (CCM) wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka 2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimfafanulia jambo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara Joyce Sokombi.(CHADEMA),wakati wa Majadiliano ya Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Fedha kwa Mwaka 2018/2019 bungeni Dodoma leo Novemba 10/2017.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
COMMENTS