MAHAFALI YA KWANZA YA TAASISI YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI TANZANIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
HomeJamii

MAHAFALI YA KWANZA YA TAASISI YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI TANZANIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Elizabeth Titus Munthali, wakati wa shereh...

WAZIRI JAFO AWASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZA UJIJI NA PANGANI
WAAJIRI WANAWAJIBIKA KISHERIA KUFANYA TATHMINI YA MAJANGA (RISK ASSESSMENT) MAHALAPA KAZI KILA MWAKA-WCF
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI CAG

Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Elizabeth Titus Munthali, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Honest Amedeus Matem, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Annastacia Mbunda, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba. (Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO).
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Salim Ngailo, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Lauden Cheyo, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akimkabidhi cheti mhitimu, Charles Peter Moshi, wakati wa sherehe ya maafali ya kwanza ya Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, iliyofanyika leo katika Jengo la kibiashara la Haidary Plaza, jijini Dar es Salaam. Kulia kwa mgeni rasmi, ni Rais wa Taasisi hiyo, Pius Maneno (kulia) ni Mkaguzi msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, akitoa hotuba yake wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika kwenye Jengo la Kibiashara la Haidary Plaza jijini Dar es Salaam, leo. 
Baadhi ya Wahitimu wakifuatilia Hotuba ya mgeni rasmi.
Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.akizungumza wakati wa maafali hayo.
Meza Kuu.
Rais wa Taasisi ya Usimamizi wa Vihatarishi Tanzania, akisoma hotuba yake wakati wa maafali hayo.
Makamu wa Rais wa Taasisi hiyo, Buyamba Buyamba.akitoa neno la shukrani katika maafali hayo.
Sehemu ya ndugu na marafiki wa Wahitimu wakiwa katika maafali hayo.
Mtoa mada katika maafali hayo, Gabriel Mwero, akitoa mada.
Baadhi ya Wahitimu waliopokea vyeti katika mahafali hiyo,wakimsikiliza mgeni rasmi.
Mkaguzi Msaidizi Mkuu wa hesabu za Serikali, Emmanuel Subi, akitoa mada katika mahafali hiyo.
Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, (kulia) akiteta jambo na Rais wa Taasisi hiyo ya Usimamizi wa Vihatarishi, Pius Maneno, wakati wa hafla hiyo ya maafali katika ukumbi wa Hydary Plaza.
Mgeni rasmi Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali, Mohamed Mtonga, (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na wahitimu wa Taasisi hiyo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAHAFALI YA KWANZA YA TAASISI YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI TANZANIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
MAHAFALI YA KWANZA YA TAASISI YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI TANZANIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSqzzRbrgdZezGsVMyLLUN_v2ygnSSolDRDJTacdsBfRPajgc30eYvY2_I65NB2otYbBGAE0BmjAgRJR4StkjpnxPQuSZWhaXlsR8BIIWygqV_KU63F1ok0Hky5_2bOHhPz9k9D11aBhY/s640/Elizabeth+Titus+Munthali.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSqzzRbrgdZezGsVMyLLUN_v2ygnSSolDRDJTacdsBfRPajgc30eYvY2_I65NB2otYbBGAE0BmjAgRJR4StkjpnxPQuSZWhaXlsR8BIIWygqV_KU63F1ok0Hky5_2bOHhPz9k9D11aBhY/s72-c/Elizabeth+Titus+Munthali.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/mahafali-ya-kwanza-ya-taasisi-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/mahafali-ya-kwanza-ya-taasisi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy