WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI NGORONGORO WATOA MALALAMIKO YAO KWA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALISILI NA UTALII.
HomeJamii

WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI NGORONGORO WATOA MALALAMIKO YAO KWA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALISILI NA UTALII.

Wananchi wa jamii ya wafugaji waliposimama katikati ya barabara ya kuingia Makao makuu ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa lengo la ...

NDUGU WAGOMEA MAITI YA MTOTO HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR ES SALAAM
TAARIFA YA SERIKALI BUNGENI MJINI DODOMA
HOSPITALI YA KAIRUKI YATOA HUDUMA ZA AFYA YA MACHO BURE
Wananchi wa jamii ya wafugaji waliposimama katikati ya barabara ya kuingia Makao makuu ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa lengo la kuzuia msafara wa Kamati ya Bunge ya Maliasili na Utalii ilipotembelea Ngorongoro.
Wananchi wa jamii ya wafugaji wanaoishi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro wakilelekea makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro mara baada ya kuomba kutoa kero zao mbele ya kamati hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro,Rashid Taka akitoa neno la ukaribisho kwa wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii ilipotembelea wilaya ya Ngorongoro.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashasta Ndetiye akizungumza na wananchi wa jamii ya wafugaji  makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
Wananchi wa Ngorongoro wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashasta Ndetiye alipozungumza nao.
Mbunge wa jimbo la Siha na Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasi na Utalii ,Godwin Mollel akizungumza wakati wa kikao hicho. 
Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Edward Maura akitoa malalamiko yao kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maliasili na Utalii ilipofika makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuzungumza naao.
Wananchi wa jamii ya Wafugaji wanaoishi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro wakifanya maombi mara baada ya kumalizika kwa kikao na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii.

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI NGORONGORO WATOA MALALAMIKO YAO KWA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALISILI NA UTALII.
WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI NGORONGORO WATOA MALALAMIKO YAO KWA KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALISILI NA UTALII.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7B4X4l-1KYpPkGPl6m_w6_MH_CLUy4n0NOBsSptkHtQwjRanoHXq5FWVO9CrmkJbE4B7sAfIzuyBFwqNYxgnTcZSJhAQLyJLopwRCFuTdXs5g5LXutkmPQdkn5WcHcircvl1pYfQ96UNF/s640/5Y2A2422.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7B4X4l-1KYpPkGPl6m_w6_MH_CLUy4n0NOBsSptkHtQwjRanoHXq5FWVO9CrmkJbE4B7sAfIzuyBFwqNYxgnTcZSJhAQLyJLopwRCFuTdXs5g5LXutkmPQdkn5WcHcircvl1pYfQ96UNF/s72-c/5Y2A2422.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wananchi-wa-jamii-ya-wafugaji.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/wananchi-wa-jamii-ya-wafugaji.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy