NAIBU WAZIRI JAFFO AKAGUA MAANDALIZI YA UJENZI WA DARAJA LA KIJICHI-TOANGOMA TEMEKE
HomeJamii

NAIBU WAZIRI JAFFO AKAGUA MAANDALIZI YA UJENZI WA DARAJA LA KIJICHI-TOANGOMA TEMEKE

 Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo (katikati) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la...

PROFESA MAKAME MBARAWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA TERMINAL III
MPINA ABAINI MADUDU MRADI WA MABADILIKO YA TABIA NCHI, FEDHA ZAHOFIWA KUTAFUNWA
MALAWI YAISHAURI GIHON TANZANIA KUFUATA SHERIA
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo (katikati) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Issa Mangungu alipokwenda kukagua ujenzi wa daraja linalounganisha Kata za Toangoma na Kijichi, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Toangoma, Mohamed Mketo. (PICHA NA DALILA SHARIF)



Na Dalila Sharif
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amekagua ujenzi wa Daraja linalounganisha Kijichi hadi Toangoma wilayani Temeke.

Akizungumza Jijini Dar es Salaam leo, alipokuwa akikagua ujenzi wa daraja hilo, Naibu Waziri alisema ameridhishwa na maandalizi ya ujenzi wa daraja hilo

“Daraja hilo lenye urefu wa mita 600 na inatakiwa matayarisho
yaanze mapema kwa kuchonga barabara  ili ujenzi ukamilike mapema tayari kwa wananchi kulitumia,”alisema Jafo.

Mkuu wa Wilaya  hiyo, Felix Lyaniva alisema anampongeza Naibu Waziri kwa kukagua ujenzi wa daraja hilo kwa kuwa ni nia njema katika kuendeleza maendeleo ya wilaya hiyo.

“Wapo katika harakati za mandalizi ya ujenzi wa daraja
hilo litakaloweza kusaidia kupunguza kero za wananchi wanaotembea umbali mrefu kwa miguu katika maeneo hayo,”alisema Lyaniva.

Hata hivyo, Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Issa Mangungu
alimuomba waziri  kuwatatulia wananchi wa eneo hilo  kero inayowakabili ya kutolipwa fidia zao.

“Wakazi wa eneo ambao hadi sasa hawajalipwa fidia ya
nyumba zao wamekuwa wakikumbwa na mafuriko yanayosababishwa na mvua hivyo kuathirika kwa kiasi kikubwa,”alisema Mangungu.


 Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Issa Mangungu akifafanua jambo kwa wanahabari kuhusu maendeleo ya mradi huo

 Jaffo akiwasili kukagua mradi huo



 Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mbagala, Issa Mangungu alipokwenda kukagua ujenzi wa daraja linalounganisha Kata za Toangoma na Kijichi, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Toangoma, Mohamed Mketo. (PICHA NA DALILA SHARIF)

Jafo akitoa maagizo baada ya kukagua mradi huo.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI JAFFO AKAGUA MAANDALIZI YA UJENZI WA DARAJA LA KIJICHI-TOANGOMA TEMEKE
NAIBU WAZIRI JAFFO AKAGUA MAANDALIZI YA UJENZI WA DARAJA LA KIJICHI-TOANGOMA TEMEKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-B69sZnaN0_zr1yDDJ_1hYDlmy1DksNSETWdOILYrdIV3gVvig0VuDFGkDEyOtBJ3F4F_RZAbCxxtfFKLDXxy8vZqRC6irHwGVR4xhgdfvQkiesd4OdgDCrviJdRoDVFfbBVY0wXKnZY/s640/01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-B69sZnaN0_zr1yDDJ_1hYDlmy1DksNSETWdOILYrdIV3gVvig0VuDFGkDEyOtBJ3F4F_RZAbCxxtfFKLDXxy8vZqRC6irHwGVR4xhgdfvQkiesd4OdgDCrviJdRoDVFfbBVY0wXKnZY/s72-c/01.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/naibu-waziri-jaffo-akagua-maandalizi-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/naibu-waziri-jaffo-akagua-maandalizi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy