Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya BAM Internation...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya BAM
International inayojenga Jengo la Tatu la Abiria katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa timu ya usimamizi wa ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Jijini Dar es Salaam,
Eng. Julius Ndyamukama (kushoto) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa ramani ya miundombinu katika jengo
hilo alipofanya ukaguzi mapema leo.
Muonekano
wa jengo la Tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam likiwa katika hatua za
mwisho za ujenzi. Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
COMMENTS