MALAWI YAISHAURI GIHON TANZANIA KUFUATA SHERIA
HomeJamii

MALAWI YAISHAURI GIHON TANZANIA KUFUATA SHERIA

  Mkurugenzi Mtendaji wa Gihon Ministry,  Rebecca Stanford (kushoto), akiwa na  Mwanasheria wa Gihon, Monica Mhoja wakati walipokwen...

NAIBU WAZIRI HABARI AKUTANA NA MSHINDI WA MISS GARDEN ROUTE 2017 MJINI DODOMA
WAJUMBE WA KAMATI MAALUM ILIYOUNDWA NA RAIS DKT. MAGUFULI WAENDELEA NA MAJADILIANO NA TIMU KUTOKA KAMPUNI YA BARRICK GOLD CORPORATION
TUME YATEUA MBUNGE NA MADIWANI WATATU (3) WANAWAKE WA VITI MAALUM





 Mkurugenzi Mtendaji wa Gihon Ministry,  Rebecca Stanford (kushoto), akiwa na  Mwanasheria wa Gihon, Monica Mhoja wakati walipokwenda ofisi ya Balozi wa Malawi nchini.
 Mwakilishi wa Balozi wa Malawi nchini, Micharl Gama (kulia), akiwa na viongozi wa Huduma ya Kiroho ya Gihon ofisi ya ubalozi huo hapa nchini. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Gihon Ministry,  Rebecca Stanford, Mwanasheria wa Gihon, Monica Mhoja, Mkuu wa Kitengo
cha Uhusiano
  Gihon, Leonce Zimbandu na Ofisa Habari, Michael Malanyingi.
 Mwakilishi wa Balozi wa Malawi nchini, Micharl Gama (kulia), akiwa na viongozi wa Huduma ya Kiroho ya Gihon ofisi ya ubalozi huo hapa nchini. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Gihon Ministry,  Rebecca Stanford, Mwanasheria wa Gihon, Monica Mhoja, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano  Gihon, Leonce Zimbandu




Na Mwandishi,  Wetu

OFISI ya Ubalozi wa Malawi nchini imeushauri Uongozi wa huduma ya Gihon kuwasiliana na Bodi ya usajili ya Malawi kabla ya kujaza fomu ya maombi ya usajili wa huduma hiyo.

Lengo ni kuutaka uongozi huo kufahamu sheria za usajili za nchini Malawi ili kuepuka usumbufu ambao unaweza kujitokeza iwapo fomu zitajazwa bila kuzingatia sheria na taratibu za nchi husika.

Katibu wa Balozi  wa Malawi nchini, Micharl Gama aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Gihon jana  katika ofisi ya ubalozi huo ili kupata ufafanuzi wa namna ya kufungua huduma hiyo nchini Malawi.

Alisema ubalozi utahakikisha mawasiliano yanapatikana ili mwanasheria kutoka bodi ya usajili ya Malawi kutoa maelekezo yanayotakiwa kufuatwa kabla ya kufanya usajili wa taasisi (NGO).

“Unajua  mimi siyo mtaalamu wa masuala ya sheria, hivyo mawasiliano nitakayowapatia yatafafanua vizuri kifungu cha sheria  namba 5.05 cha Malawi,” alisema.

Alisema wajibu wa ofisi hiyo ya ubalozi ni kuwaunganisha na wenye mamlaka ili waweze kutekeleza wajibu wao wa kisheria, hivyo  hana uwezo wa tafsiri sharia ya usajili wa NGO.

Mwanasheria wa  Huduma ya Gihon, Monica Mhoja alisema kuwa huduma hiyo imeona kabla ya kujaza fomu za usajili wa huduma  hiyo ya kiroho nchini Malawi, waliamua  kuomba ushauri kutoka katika ofisi za ubalozi huo.

Alisema taratibu zipo tofauti kati ya nchi moja na nyingine, hivyo itakuwa busara kufahamu sheria za usajili kutoka nchini Malawi ili kuepuka uvunjaji wa taratibu za kisheria.

“Tunaomba kufahamu taratibu za usajili wa NGO zilizopo nchini Malawi, kwani tunahitaji kufungua huduma ili kufahamu mgawanyo wa madaraka ulivyo kabla ya huduma kuanza kisheria,” alisema.

Mkurugenzi Mtendaji wa huduma ya Gihon nchini, Rebecca Stanford alisema wamefikia uamuzi wa kushughulikia usajili nchini Malawi baada  ya watu hao kubarikiwa  huduma hiyo kiroho na kimwili.

“Tayari tumefungua tawi la huduma ya Gihon nchini  Malawi  kwa muda wa miaka miwili, hivyo kutokana na uhitaji uliopo tumeona tuisajili huduma hiyo ili itambulike rasmi,” alisema.

(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MALAWI YAISHAURI GIHON TANZANIA KUFUATA SHERIA
MALAWI YAISHAURI GIHON TANZANIA KUFUATA SHERIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8W6cA5PEH38K0Xj7C5nIZvjJ8RiIEHveJ7uHcBmvkbecw6LODx3GI-xOGDgdqBcOzHKwunPpmHvak3voJtq4HHq4_YkdR53MnGg1fzfgKI7NsbQKlc6ERe-5j4pqZIoePjkp5bynpoOZl/s640/IMG-20170302-WA0011+%25281%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8W6cA5PEH38K0Xj7C5nIZvjJ8RiIEHveJ7uHcBmvkbecw6LODx3GI-xOGDgdqBcOzHKwunPpmHvak3voJtq4HHq4_YkdR53MnGg1fzfgKI7NsbQKlc6ERe-5j4pqZIoePjkp5bynpoOZl/s72-c/IMG-20170302-WA0011+%25281%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/malawi-yaishauri-gihon-tanzania-kufuata.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/malawi-yaishauri-gihon-tanzania-kufuata.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy