HomeJamii

TUME YATEUA MBUNGE NA MADIWANI WATATU (3) WANAWAKE WA VITI MAALUM

NEC -   Dar es salaam . Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla kuwa Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge l...

OIF YAELEZEA FURSA ZILIZOPO KWA WATANZANIA WANAOJUA KIFARANSA
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WA WFP
MATUKIO PICHA; WAZIRI MIPANGO ALIPOWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2018/2019



NEC -  Dar es salaam.

Tume ya
Taifa ya Uchaguzi imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla kuwa Mbunge wa Viti Maalum
katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi
(CUF) ,kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Hindu Hamisi Mwenda aliyefariki  dunia Septemba 1, 2017.

Akizungumzia
uteuzi huo, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima
Ramadhani amesema kuwa Tume imemteua Ndugu Rehema Juma Migilla mara baada ya
kupokea taarifa ya kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kutoka Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Amesema kwa
mujibu wa kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 Mhe.
Spika aliitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi juu kuwepo kwa nafasi wazi ya
mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Wananchi CUF baada ya aliyeteuliwa kuwa
Mbunge wa Viti Malum kupitia chama cha CUF Ndugu Hindu Hamis Mwenda kufariki
dunia.

Katika
hatua nyingine Mkurugenzi  huyo amesema
kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa mujibu wa kifungu cha 86 A (8) cha Sheria ya
Uchaguzi ya Serikali za Mitaa imewateua Madiwani Wanawake wa Viti Maalum watatu
(3) kujaza nafasi wazi za madiwani katika Halmashauri tatu za Tanzania Bara.

Madiwani
walioteuliwa ni Ndugu Jane I. Chungwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Itigi
kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Rosana S. Mwinyi kutoka Halmashauri ya
Wilaya ya Bahi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Ndugu Pili M.Mfaume kupitia
Chama Cha Wananchi CUF kutoka Halmashauri ya Temeke.

Amesema
uteuzi huo umefanyika baada ya Tume kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye
dhamana ya Serikali za Mitaa ambaye kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 13
(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 aliitarifu Tume ya
Taifa ya Uchaguzi kuhusu uwepo wa nafasi wazi za madiwani.




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TUME YATEUA MBUNGE NA MADIWANI WATATU (3) WANAWAKE WA VITI MAALUM
TUME YATEUA MBUNGE NA MADIWANI WATATU (3) WANAWAKE WA VITI MAALUM
https://i.ytimg.com/vi/xDHG0J4xPCs/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/xDHG0J4xPCs/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/tume-yateua-mbunge-na-madiwani-watatu-3.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/tume-yateua-mbunge-na-madiwani-watatu-3.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy