Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake mama Salma Kikwete wakiaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama. ...
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake mama Salma Kikwete wakiaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Mke wa Marehemu Sir George Clement Kahama, Janeth Kahama akiaga mwili wa Mumewe katika ukumbi Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
|
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu ,
Benjamini Mkapa akitoa pole kwa watoto wa Marehemu Sir George Kahama
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Waziri mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed
Salim akiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Spika Mstaafu wa Bunge, Anna Makinda akitoa pole kwa wanafamilia ya Marehemu Sir George Kahama.
Kiongozi wa kambi ya upinzani
Bungeni, na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiaga mwili wa Marehemu Sir George Clement Kahama
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Wazira wa zamani wa Mamabo ya Nje na Ushirikaiano wa kimataifa, Bernard Membe.
Mtoto wa Marehemu, Sir George Kahama, Joseph akiaga mwili wa babake.
Sehemu ya ndugu wa familia wakiaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward
Lowasa akitoa pole kwa watoto Marehemu Sir George Kahama katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mawaziri wakuu wa wastaafu pamoja na wake zao wakiwa katika msiba huo kwa uhuzuni. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa.
Marais wastaafu Jakaya Kiwete na Benjamin Mkapa wakiwa na wake zao wakiwa wanatafakari kabla ya kuaga mwili wa Marehemu Sir George Kahama.
Mawaziri wakuu wastaafu
wakitafakari jambo kabla ya kuaga Mwili wa Marehemu Sir George Kahama
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
COMMENTS