KAMANDA MUSILIMU AIPONGEZA PUMA ENERGY KWA KUWAZAWADIA WANAFUNZI WALIOCHORA PICHA BORA ZA ATHARI ZA USALAMA BARABARANI
HomeJamii

KAMANDA MUSILIMU AIPONGEZA PUMA ENERGY KWA KUWAZAWADIA WANAFUNZI WALIOCHORA PICHA BORA ZA ATHARI ZA USALAMA BARABARANI

 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani,  Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fortunatus Musilimu (kushoto), akim...

MGANGA MKUU MKOA WA MWANZA AWATAHADHARISHA WANANCHI JUU YA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA.
NAIBU WAZIRI POSI AZINDUA TAMASHA LA TANO LA WATU WENYE ULEMAVU JIJINI DAR.
TAASISI YA DORIS MOLELL FOUNDATION YAANDAA MATEMBEZI KUKABILIANA NA VIFO VYA WATOTO NJITI

 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fortunatus Musilimu (kushoto), akimwangalia Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Amani, Nasri Mwema baada ya kumkabidhi tuzo ya kuwa mshindi wa kwanza kwa kuchora vizuri picha inayoelezea athari za usalama barabarani katika hafla iliyoandaliwa na Kampuni ya Uuuzaji Mafuta ya Puma Energy katika Shule ya Msingi Diamond Dar es Salaam leo. Mashindano hayo yanadhaminiwa na Puma Energy Tanzania. Kulia ni Msajiri wa Hazina, Oswald Mashindano na Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Phillipe Corsaletti. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)

 Mwanafunzi Nasri Mwema  akipokea tuzo kutoka kwa Msajiri wa Hazina , Oswald Mashindano (kulia),.Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Puma, Phillipe Corsaletti.

 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Puma, Phillipe Corsaletti akipongezana na  Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fortunatus Musilimu 

  Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fortunatus Musilimu  na viongozi wengine wakishiriki kuteua picha bora tatu zilizochorwa na wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi Mkoa wa Dar es Salaam.



Mwanafunzi George Jonas wa Shule ya Msingi Upendo akikabidhiwa begi na madaftari yenye alama za usalama barabarani baada ya kuwa mshindi wa tatu  katika mashindano hayo

 Mshindi wa pili wa shindano la uchoraji wa picha za kuonesha athari za usalama barabarani, Rehema Mzimbili  wa Shule ya Msingi Buza, Temeke, Dar es Salaam, akipokea





 Mshindi wa Kwanza Nasri Mwema akiwa katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kukabidhiwa zawadi ambapo pia Shule yake ya Amani ilizawadiwa sh. mil. 2.



 Kamanda Musilimu akionesha picha iliyoshinda katika mashindano hayo

Washindi wote watatu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi pa walimu wao. 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMANDA MUSILIMU AIPONGEZA PUMA ENERGY KWA KUWAZAWADIA WANAFUNZI WALIOCHORA PICHA BORA ZA ATHARI ZA USALAMA BARABARANI
KAMANDA MUSILIMU AIPONGEZA PUMA ENERGY KWA KUWAZAWADIA WANAFUNZI WALIOCHORA PICHA BORA ZA ATHARI ZA USALAMA BARABARANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkOgDlRKZVVDziRD69zld9ows2W3muXrcVVGSnxAyD70IvyRjzCJHk-V6cvMW1EWuhTDgg56Gyi_E9NGWPS8RfrH-Z9MaE6MRkdihTSdWkKSNDt0ISXTFr-fAWbtBymnEmmlxQetX56Q0t/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgkOgDlRKZVVDziRD69zld9ows2W3muXrcVVGSnxAyD70IvyRjzCJHk-V6cvMW1EWuhTDgg56Gyi_E9NGWPS8RfrH-Z9MaE6MRkdihTSdWkKSNDt0ISXTFr-fAWbtBymnEmmlxQetX56Q0t/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kamanda-musilimu-aipongeza-puma-energy.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/kamanda-musilimu-aipongeza-puma-energy.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy