MAKONDA AAGIZA WALIOJENGA MABONDENI JIJINI DAR ES SALAAM KUHAMA MARA MOJA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikatiza kuvuka upande wa pili wa bonde mto msimbazi kujionea jinsi maji yalivyofanya uharibifu.
 
HomeJamii

MAKONDA AAGIZA WALIOJENGA MABONDENI JIJINI DAR ES SALAAM KUHAMA MARA MOJA

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikatiza kuvuka upande wa pili wa bonde mto msimbazi kujionea jinsi maji yalivyof...

VIDEO: DKT.NDUGULILE AWATUNUKU VYETI WATOA HUDUMA WA KUJITOLEA WA MASHAURI YA WATOTO MKOANI KATAVI.
ALICHOKIZUNGUMZA NAIBU WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YAJAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO MHE. DKT. FAUSTINE NDUGULILE KWA WANAWAKE WAJASILIAMALI WA MKOA WA RUKWA
MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAJIBIKENI KWA WANANCHI: DKT. NDUGULILE.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika ziara ya kukagua sehemu zilizokumbwa na mafuriko katika bonde la Mto Msimbazi, baada ya mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka wale wote waliojenga mabondeni kuhama mara moja kwani wengi wao walikwishapatiwa viwanja kule Mabwepande nje kidogo ya jiji.
Makonda alisema, watu hao ni watu wabaya kwani walipewa viwanja Mambwepande, na wako katika makundi mawili, wapo ambao wamehama na kuwapangisha watu kwa bei nafuu na wengine wameuza viwanja walivyopewa na kurejea huko mabondeni. "Natoa wito, wote wanaoishi kwenye maeneo haya hatarishi wahame mara moja na kurejea kwenye maeneo yao salama." Alisisitiza.
Tayari Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa polisi wa wilaya kuhakikisha wale wote wanaoishi kwenye maeneo ya mabondeni wanawaondoa kwa nguvu.
"Jeshi la polisi kazi yake ni kulinda mali na usalama wa wananchi na sisi hatuwezi kukubali kuona watu wanaishi kwenye maeneo ambayo yatahatarisha maisha yao kwa hivyo kama wananisikia wahame mapema kabla mkono wa sheria haujawafikia." Alisema Kamanda Sirro wakati wa taarifa yake ya kila siku kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Macvhi 14, 2017.
amewatahadharisha wakazi wa bonde la mto msimbazi kuwa mvua zinazo nyesha zitaweza kuendelea kuleta madhara kwa wakazi waishio mabondeni kutokana na uharibifu wa miundombinu ya maji.
Makonda amesema hayo alipokuwa akizungumza na wakazi wa bonde la mto Msimbazi jijini Dar es Salaam leo Machi 14, 2017 ambao walikusanyika kumsikiliza wakati alipokuwa akitembelea maeneo yaliyoathirika na mafuriko ya mvua zilizonyesha Machi 13, 2017.
"kulingana na utabiri wa hali ya hewa mvua hizi zipo kati ya Milimita 30 hadi 35 na zikiendelea kuongezeka mpaka Milimita 50, maana yake hali itakuwa ni mbaya zaidi hivyo waswahili husema kinga ni bora kuliko tiba "Amesema Makonda
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika bonde la mto Msimbazi kukagua wakazi wa eneo hilo ambao wamepitiwa na hadha ya mafuriko yaliyotokana na mvua ilinyosha jana
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akikatiza kuvuka upande wa pili wa bonde mto msimbazi kujionea jinsi maji yalivyofanya uharibifu
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa na jopo la watumishi na wakazi wa jiji katika bonde la Mto Msimbazi.
 
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akishuka kuelekea Bondeni kuangalia namna mvua zilizonyesha Dar es Salaam na kuleta madhara kwa wakazi hao.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na wajasilimali na wanawake wa bonde la mto Msimbazi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKONDA AAGIZA WALIOJENGA MABONDENI JIJINI DAR ES SALAAM KUHAMA MARA MOJA
MAKONDA AAGIZA WALIOJENGA MABONDENI JIJINI DAR ES SALAAM KUHAMA MARA MOJA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtEzlfqKZdvrvNcunVu9x5fvQNFKdCq9CYHLb72DM01XFh30PbXZMZJCedI-2YuWQmEed4LhNl4NlPhJdWYEST2A2DEOUC1f3aXziXQlgL1oywvOx3YcLzbhq5m_2fC27pdRhXfyQ_yb2f/s640/WhatsApp+Image+2017-03-14+at+16.21.19.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtEzlfqKZdvrvNcunVu9x5fvQNFKdCq9CYHLb72DM01XFh30PbXZMZJCedI-2YuWQmEed4LhNl4NlPhJdWYEST2A2DEOUC1f3aXziXQlgL1oywvOx3YcLzbhq5m_2fC27pdRhXfyQ_yb2f/s72-c/WhatsApp+Image+2017-03-14+at+16.21.19.jpeg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/makonda-aagiza-waliojenga-mabondeni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/makonda-aagiza-waliojenga-mabondeni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy