FUNDISHO LA WIKI' DADA JASMINI! ALIVYO VUKA MAJARIBU YA KUSALITIWA NA MUME!
HomeJamii

FUNDISHO LA WIKI' DADA JASMINI! ALIVYO VUKA MAJARIBU YA KUSALITIWA NA MUME!

Inatia huruma kwa Dada Jasmini Shabani aliye kutikana maeneo ya Buguruni Rozana, ambaye kapitia majaribu na misukosuko katika maisha ya n...

MAHAFALI YA KWANZA YA TAASISI YA USIMAMIZI WA VIHATARISHI TANZANIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
SHIRIKA LA MELI LA ETHIOPIA KUANZA KUTUMIA BANDARI YA DAR ES SALAAM
NAIBU BALOZI WA VIJANA WA EAC ATOA SOMO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU JIJINI ARUSHA

Inatia huruma kwa Dada Jasmini Shabani aliye kutikana maeneo ya Buguruni Rozana, ambaye kapitia majaribu na misukosuko katika maisha ya ndoa yake, ikiwa ni pamoja na kusalitiwa na Mume wake wa kwanza pindi alipokuwa na ujauzito wa miezi mitano.



Katika
maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi zinazo sikitisha lakini kwa upande
mwingine zinazo chekesha. Amini
ukisema Ndoa ni sawa na neno SIRI maana yaliyomo ndani Mungu ndio anajua
unaweza ukakutana na wanandoa yaani Mke na Mume wameongozana wakiwa na nyuso za
furaha kumbe mioyo yao haipatani kama Chui na Mbuzi.



Ukifikiria
sana ndoa unaweza sema labda ndoa nyingi huwa zinatokea kama ajali, yaani
utafikiri wanalazimishwaga. Kiukweli usipo lizika na uliye mchagua sasa huwezi
kulizika maisha yako yote. Mpende mwenzio kama ujipendavyo hata vitabu vya
mungu viliandika.




Kawaida
Inatia huruma kwa Dada Jasmini Shabani aliye kutikana maeneo ya Buguruni Rozana, ambaye kapitia majaribu na misukosuko katika maisha ya ndoa yake, ikiwa ni pamoja na kusalitiwa na Mume wake wa kwanza pindi alipokuwa na ujauzito wa miezi mitano.

Katika maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi zinazo sikitisha lakini kwa upande mwingine zinazo chekesha. Amini ukisema Ndoa ni sawa na neno SIRI maana yaliyomo ndani Mungu ndio anajua unaweza ukakutana na wanandoa yaani Mke na Mume wameongozana wakiwa na nyuso za furaha kumbe mioyo yao haipatani kama Chui na Mbuzi.


Ukifikiria sana ndoa unaweza sema labda ndoa nyingi huwa zinatokea kama ajali, yaani utafikiri wanalazimishwaga. Kiukweli usipo lizika na uliye mchagua sasa huwezi kulizika maisha yako yote. Mpende mwenzio kama ujipendavyo hata vitabu vya mungu viliandika.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: FUNDISHO LA WIKI' DADA JASMINI! ALIVYO VUKA MAJARIBU YA KUSALITIWA NA MUME!
FUNDISHO LA WIKI' DADA JASMINI! ALIVYO VUKA MAJARIBU YA KUSALITIWA NA MUME!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitWOivq2JjGtCWKKyzuiqZYu5EQglSX6WLqifV8ZPpemt5tQy07xpqWu8_agjfK24ZYTED4zhFdY04GR1fZ436NnqlZJdNdfLwYua0MwokEhChMMnefjPiXv28BYF0p2ObsEqIfbXOgQ4/s640/PICHA+.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitWOivq2JjGtCWKKyzuiqZYu5EQglSX6WLqifV8ZPpemt5tQy07xpqWu8_agjfK24ZYTED4zhFdY04GR1fZ436NnqlZJdNdfLwYua0MwokEhChMMnefjPiXv28BYF0p2ObsEqIfbXOgQ4/s72-c/PICHA+.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/fundisho-la-wiki-dada-jasmini-alivyo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/fundisho-la-wiki-dada-jasmini-alivyo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy