Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China ulioongozwa na Naibu ...
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China ulioongozwa na Naibu Mkurugenzi wa kamati hiyo, Mheshimiwa CAO Weizhou (wa pili kulia) wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, pale ugeni huo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akimsikiliza Naibu Mkurugenzi wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mheshimiwa CAO Weizhou (kulia) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimpatia zawadi Naibu Mkurugenzi wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mheshimiwa CAO Weizhou (kushoto) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China wakiongozwa na Mheshimiwa CAO Weizhou (kushoto waliokaa) pale ugeni kutoka kamati hiyo ulipomtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
COMMENTS