KINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM, MJINI DODOMA, LEO
HomeSiasa

KINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM, MJINI DODOMA, LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya Chama, kwa Wenyeviti na Makatibu wa...

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO
MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AIPIGA TAFU SHULE YA MSINGI KIGOZILE
MHE. NAPE APOKELEWA KWA KISHINDO JIMBONI KWAKE, ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA CHOZI

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya Chama, kwa Wenyeviti na Makatibu wa mikoa na wa wilaya na watendaji, leo katika Ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma 
 Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

 Katibu wa Sekretarieti ya CCM, Anamringi Macha (kulia) akiratibu semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Sekretarieti ikisimamia kufanyika kwa Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. 
Baadhi ya viongozi wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Zanzibar Dk. Abdalla Juma Abdallah, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu- Zanzibar, Vuai Ali Vuai, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, na kutoka kulia ni Katibu mpya wa NEC Oganaizesheni, Lela Ame Silima na Katibu wa NEC Oganaizesheni mstaafu Mohammed Seif Khatib. (Picha na Bashiri Nkoromo)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM, MJINI DODOMA, LEO
KINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM, MJINI DODOMA, LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2NmRLULUHXF-EtxaOH6qRliyV7puDdPsO7jPhg6sotDUFiN1iZPS6xW7KGf15MMahsoietGLbgVoMoiasfnkLciockHAvLiV6vjCKn-QGdEvhaq2U6pxB6w5xZP0lQHuHB1jfNUn1mf59/s640/1.+BN649305.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2NmRLULUHXF-EtxaOH6qRliyV7puDdPsO7jPhg6sotDUFiN1iZPS6xW7KGf15MMahsoietGLbgVoMoiasfnkLciockHAvLiV6vjCKn-QGdEvhaq2U6pxB6w5xZP0lQHuHB1jfNUn1mf59/s72-c/1.+BN649305.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/kinana-afungua-semina-elekezi-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/kinana-afungua-semina-elekezi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy