RAIS KIKWETE AMKABIDHI MTUKUFU AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam.

RAIS KIKWETE AMKABIDHI MTUKUFU AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan akiongea baada ya kumkabidhi ha...

WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA
WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI KAMWELWE, AMUAGIGA KATIBU MKUU WA WIZARA HIYO KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA YA KIUTENDAJI KWENYE BOHARI KUU YA MAJI
KAMATI YA UN KUTETEA HAKI ZA WAPALESTINA YAZUNGUMZA NA WAZIRI DK. MWAKYEMBEA








Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan tayari kwa  kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe mbalimbali wakifuatilia hafla hiyo ikulu leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea baada ya kumkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan (kushoto)
hati ya idhini ya Chuo Kikuu cha Aga KhanIkulu leo Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan akiongea baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu .

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakti wa hafla ya kumkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa kiongozi huyo baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu.

Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana akiongea baada ya kukabidhiwa hati ya idhini ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam.





Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tume ya Kituo cha Elimu ya Juu Nchini (TCU) wakati wa hafla kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan Kiongozi huyo Dar es Salaam leo. Pamoja nao (wa tatu kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufunzi, Dk Shukuru Kawambwa na Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Yunus Mgaya (wa tatu kulia).  

Baadhi ya wajumbe mbalimbali wakifuatilia hafla hiyo ikulu leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khan wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa kiongozi huyo na viongozi wa Tume ya Vyuo Vikuu baada ya kumkabidhi hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es Salaam leo February 23, 2015. Pamoja nao ni
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufunzi, Dk Shukuru Kawambwa (wa nne kushoto), Waziri wa Mamabo ya Nje na Ushirikiano wa Mambo ya Nje, Bernard Membe (wa tatu kulia), Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid (wa tatu kulia) na Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Yunus Mgaya (kulia).  (Imeandaliwa na Robert Okanda)

















Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AMKABIDHI MTUKUFU AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM
RAIS KIKWETE AMKABIDHI MTUKUFU AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN KILICHOPO DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiym1_5QIOqPFWNGACuwm3S9nFImblcjPdrMUBtOMSE3AqlOnvqfl5tF1KKY1RwB3MfkrF3dfis5LmHje6uGdYHnuvx4_5uuuZHmwJIQPJaqPZ0cg3sKlCndCYtaNp9Rr05vkHuwVEKrn9p/s1600/A+WORD+WITH+EACH+OTHER.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiym1_5QIOqPFWNGACuwm3S9nFImblcjPdrMUBtOMSE3AqlOnvqfl5tF1KKY1RwB3MfkrF3dfis5LmHje6uGdYHnuvx4_5uuuZHmwJIQPJaqPZ0cg3sKlCndCYtaNp9Rr05vkHuwVEKrn9p/s72-c/A+WORD+WITH+EACH+OTHER.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/02/rais-kikwete-amkabidhi-mtukufu-aga-khan.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/02/rais-kikwete-amkabidhi-mtukufu-aga-khan.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy