Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora amemteua Bwana Richard Muyungi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingi...
Katibu
Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora amemteua Bwana
Richard Muyungi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira katika Ofisi hiyo.
Awali
Bwana Muyungi alikua ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira
katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Muyungi pia ni mjumbe wa Bodi ya
Dunia ya mfuko wa mabadiliko ya tabianchi akiwakilisha Afrika. Pia ni
Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri wa Marais wa Afrika kuhusu masuala ya
mabadiliko ya tabianchi (CAHOSCC)
Uteuzi wa Bwana Muyungi umeanza mara moja tarehe 8/2/2017
COMMENTS