Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi akizungumza na wananchi wa kiton...

Mgombea
wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM),
Tausi Milanzi akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Sayari wakati wa
kuomba kura leo.
Kaimu
Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,Afidu Luambano akizungumza na
wakazi wa Kijichi wakati mkutano wa hadhara wa kuomba kura ya Mgombea
wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM),
Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
Mbunge
wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza wakati wa akimnadi Mgombea wa
Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM),
Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
Mbunge
wa Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa ,amemshika mkono Mgombea wa Udiwani
wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi
Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
Mbunge
wa Mkuranga, Abdallah Ulega akimnadi kwa wapiga kura Mgombea wa Udiwani
wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi
Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
Mbunge wa Mbagala, Issa Mangungu akizungumza
na wakazi wa Kijichi wakati mkutano wa hadhara wa kuomba kura ya
Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi
(CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
Sehemu
ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika
mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya
Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi

Meza kuu na sehemu

Tausi Milanzi akiondoka baada ya kuzungumza na wananchi wa kitongoji
cha Sayari wakati wa kuomba kura leo
Sehemu
ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamrashamra leo wakati katika
mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya
Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi.
(Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)
COMMENTS