WAHITIMU ZAIDI YA 2000 CHUO KIKUU SAUT JIJINI MWANZA KUTUNUKIWA VYETI MBALIMBALI WIKENDI HII.
HomeJamii

WAHITIMU ZAIDI YA 2000 CHUO KIKUU SAUT JIJINI MWANZA KUTUNUKIWA VYETI MBALIMBALI WIKENDI HII.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustin SAUT, Padri, Dkt. Thadeus Mkamwa, akitoa taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya c...

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA AMINA ATHUMAN DAR ES SALAAM
MH. LOWASSA AANZA KUKUMBANA NA NGUVU YA DOLA, AKAMATWA NA POLISI MKOANI GEITA, AACHIWA BAADA YA KUHOJIWA
TAASISI YA JKCI KWA KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI YA APOLO YA NCHINI INDIA WAWAFANYIA WAGONJWA UPASUAJI WA MOYO







Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustin SAUT, Padri, Dkt. Thadeus Mkamwa, akitoa taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho yatakayofanyika kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi Disemba 17 mwaka huu chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza. 

Kulia ni Bernald James ambaye ni Mkuu wa Mawasiliano, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza Mhashamu Yuda Thadeus Rwaichi.

Wahitimu 2421 wa fani mbalimbali wanatarajiwa kutunukiwa vyeti, shahada, shahada za uzamili na uzamivu katika mahafali hayo huku wanafunzi wanafunzi 746 wakishindwa kutunukiwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutolipia ada.

Mahafali hayo yatatanguliwa na Siku ya Jamii itakayofanyika Jumatano Disemba 14 ambapo kutakuwa na Maonesho ya Kitaaluma.
BMGHabari
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustin SAUT, Padri, Dkt.Thadeus Mkamwa (kushoto), akitoa taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho yatakayofanyika kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi Disemba 17 mwaka huu chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza. 
Bernald James ambaye ni Mkuu wa Mawasiliano, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.


Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho yatakayofanyika kwa siku mbili, Ijumaa Disemba 16 na Jumamosi Disemba 17 mwaka huu chuoni hapo Malimbe Jijini Mwanza. 
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho.


Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT 
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wanabaraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho.


Wanahabari na wajumbe wa baraza la Seneti chuo Kikuu SAUT wakifuatilia taarifa kuhusiana na Mahafali ya 18 ya chuo hicho
Wahitimu 2421 wa fani mbalimbali wanatarajiwa kutunukiwa vyeti, shahada, shahada za uzamili na uzamivu katika mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine SAUT cha Jijini Mwanza.

Makamu Mkuu wa chuo hicho Dkt.Thadeus Mkamwa amesema wahitimu hao wakiwemo watatu wa shahada za uzamivu watatunukiwa shahada zao kwenye Mahafali yatakayofanyika ijumaa na jumamosi wiki hii chuoni hapo.

Amesema mahafali hayo ambayo mgeni rasmi atakuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza Mhashamu Yuda Thadeus Rwaichi yatatanguliwa na Siku ya Maonesho Kitaaluma yatakayohusisha wanafunzi na wahadhiri kutoka kila kitivo na idara.

Hata hivyo Dkt. Mkamwa amesema wanafunzi 746 wameshindwa kuhitimu masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kushindwa kulipa ada.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAHITIMU ZAIDI YA 2000 CHUO KIKUU SAUT JIJINI MWANZA KUTUNUKIWA VYETI MBALIMBALI WIKENDI HII.
WAHITIMU ZAIDI YA 2000 CHUO KIKUU SAUT JIJINI MWANZA KUTUNUKIWA VYETI MBALIMBALI WIKENDI HII.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcvruVMtVXi48WNpd4UL61zApAi36zgYZy80VWjLQiM6lPGHesIUl0iAFjNNi2XFKemdwtQIEEiFJgCie8XU-_LZKu4U1ZXfObaRJUsTt_40zxw3hAOUvPCiC4WMD-mipQclIhBTi_Sow/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcvruVMtVXi48WNpd4UL61zApAi36zgYZy80VWjLQiM6lPGHesIUl0iAFjNNi2XFKemdwtQIEEiFJgCie8XU-_LZKu4U1ZXfObaRJUsTt_40zxw3hAOUvPCiC4WMD-mipQclIhBTi_Sow/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/wahitimu-zaidi-ya-2000-chuo-kikuu-saut.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/wahitimu-zaidi-ya-2000-chuo-kikuu-saut.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy