RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA RADA, APOKEA NDEGE YA TATU YA BOMBADIER
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kuashiria uwekaji wa  jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2018

HomeJamii

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA RADA, APOKEA NDEGE YA TATU YA BOMBADIER

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli    akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kuashiria uwekaji wa   jiw...

VIDEO: HOTUBA YA NAIBU WAZIRI DKT. FAUSTINE NDUGULILE WAKATI WA UZINDUZI WA KLABU ZA WASICHANA KATIKA SHULE YA SEKONDARI MWENDAKULIMA KAHAMA
TAKUKURU TANGA YAPOKEA TAARIFA 204 ZA VITENDO YA RUSHWA
DAWASA NA DAWASCO ZATAKIWA KUPELEKA HUDUMA ZA MAJI PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akipata maelezo ya toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa anga TCAA Bw. Hamza Johari  katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2018




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli   akisalimiana na Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond ambaye alikuwepo kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2018 




Ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ikipigiwa saluti ya maji baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, na kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Aprili 2, 2018




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wa dini na wa ATC ndani ya ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiteremka kutoka kwenye  ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ilipoipokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Zoka  huku akishuhudiwa na marubani mara baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishangiliwa na umati wa wananchi baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Mwenyekiti wa Tanzania society of Travel Agents (TASOTA) Bw. Mustafa Khataw  baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya KKKT Dkt.  Alex Malasusa baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga  baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018. (Picha na IKULU)






Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA RADA, APOKEA NDEGE YA TATU YA BOMBADIER
RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA RADA, APOKEA NDEGE YA TATU YA BOMBADIER
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicZi4Y7qBI2r3PE-_femCPB8i_f3NxL8RDU8OQjXxttWRMY2ITQvE8KFH62hmmrFg3MARy_xgWw8099RNg59mUmdZrhnWpZ1F-CYqeFmAx4jrSwmifPtTz6RGtCBiN1JdNE4ZkP_U-XL4/s640/m+%252810%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEicZi4Y7qBI2r3PE-_femCPB8i_f3NxL8RDU8OQjXxttWRMY2ITQvE8KFH62hmmrFg3MARy_xgWw8099RNg59mUmdZrhnWpZ1F-CYqeFmAx4jrSwmifPtTz6RGtCBiN1JdNE4ZkP_U-XL4/s72-c/m+%252810%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/rais-dkt-magufuli-aweka-jiwe-la-msingi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy