Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akijadiliana jambo na Makamu wa Rais wa Shirika la Ma...
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akijadiliana
jambo na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), Bi
Suzuki Noriko (kulia kwa waziri), kuhusu maendeleo ya miradi ya ujenzi
wa barabara nchini inayotekelezwa na shirika hilo. Kushoto kwa Waziri ni
Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifurahia
jambo na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), Bi
Suzuki Noriko (kulia), walipokutana jjijini Dar es salaam
leo. Kushoto kwa Makamu wa Rais wa JICA ni Mwakilishi Mkuu wa JICA
Tanzania Bw. Toshio Nagase.
Makamu
wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), Bi Suzuki Noriko,
akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa walipokutana jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa tatu
kulia), na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), Bi
Suzuki Noriko (wa tatu kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na
wataalamu wao mara baada ya kujadili mikakati ya kuboresha miundombinu
nchini.
(Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano)
COMMENTS