MCHUNGAJI JOSEPHINE MILLER KUTOKA MAREKANI AZUNGUMZIA SIKUKUU YA CHRISMASI
HomeJamii

MCHUNGAJI JOSEPHINE MILLER KUTOKA MAREKANI AZUNGUMZIA SIKUKUU YA CHRISMASI

Mchungaji Josephine Miller (kushoto) kutoka nchini Marekani, akizungumza na George Binagi (kulia), baada ya kuhitimisha mafundish...

UNDANI KUHUSU SHEREHE ZA HALLOWEEN KILA IFIKAPO OKTOBA 31
MHE. LUGOLA AFANYA ZIARA TANDALE KWA MTOGOLE NA KUZINDUA OPERESHENI YA MIEZI MIWILI YA KUSAFISHA MITO NCHI NZIMA
DKT. FAUSTINE NDUGULILE AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA CHAMA CHA WATAALAMU WA MAGONJWA YA FIGO MJINI DODOMA









Mchungaji Josephine Miller (kushoto) kutoka nchini Marekani, akizungumza na George Binagi (kulia), baada ya kuhitimisha mafundisho na mahubiri ya juma zima katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya hii leo.



Amesema Krismasi ni msimu muhimu si tu kwa Amerika bali pia kote ulimwenguni hususani kwa wote wanaomwamini Yesu Kristo aliyezaliwa Bethlehem. Anasema kuzaliwa kwa Yesu Kristo ilikuwa ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa ajili yetu.


Amewatia moyo Watanzania kumwamini Mungu kwani yuko pamoja nao, bila kujalisha hali yoyote ile waliyonayo ikiwemo kiuchumi.


Bonyeza HAPA Au play kusikiliza

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MCHUNGAJI JOSEPHINE MILLER KUTOKA MAREKANI AZUNGUMZIA SIKUKUU YA CHRISMASI
MCHUNGAJI JOSEPHINE MILLER KUTOKA MAREKANI AZUNGUMZIA SIKUKUU YA CHRISMASI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRMHANjYsfRKcN9SaE2R8MgyXK4OnnllU4f1vV9KxFGQAIir7szOPZXSswA6D69rgd1g0VCXjLOTWWEgdvNI3GteBNyEpvHRjbJ0REEhPxHWfXDcksr-bilj0KNVVz5bNL3adiJRsRFpI/s640/IMG_6639.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRMHANjYsfRKcN9SaE2R8MgyXK4OnnllU4f1vV9KxFGQAIir7szOPZXSswA6D69rgd1g0VCXjLOTWWEgdvNI3GteBNyEpvHRjbJ0REEhPxHWfXDcksr-bilj0KNVVz5bNL3adiJRsRFpI/s72-c/IMG_6639.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/mchungaji-josephine-miller-kutoka.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/mchungaji-josephine-miller-kutoka.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy