Baadhi ya Viongozi wenye Kampuni za Ulinzi. Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva...
Baadhi ya Viongozi wenye Kampuni za Ulinzi.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akipokea risala
kutoka kwa mmoja wa wahitimu , Asma Rajabu (kushoto) wakwanza kulia ni
Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa.
Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa akifatilia jambo kwa umakini.
Luteni, Nelson Ponera akiangalia vijana wake wanavyo jituma mbele ya mgeni rasmi.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva akizungumza jambo
wakati akifunga mafunzo ya Mgambo kundi la 54/16 yaliyofanyika
viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam, ambapo 482 wamehitimu Mafunzo
hayo, kulia ni Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa na Luteni, Nelson Ponera.
Mmoja wa wahitimu wa mafunzo hayo akionyesha umahiri wake kwa kucheza karate.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee wakifuatilia kwa makini.
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka.
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka.
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa pole.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva akizungumza jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya mgambo.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa
wahitimu wa mafunzo ya Mgambo yalio fanyika Dar es Salaam.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akikagua gwaride la
Mgambo wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika viwanja vya JKT
Mgulani Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Kasim Kiambwe na Luteni,
Nelson Ponera.
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kushoto) akisalimiana na Kaimu
Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja Dorah Kawawa wakati wa
kufunga mafunzo ya Mgambo yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es
Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
COMMENTS