KWA AJILI YA VIJANA WOTE JAPO WAZAZI NA WALEZI WANARUHUSIWA KUSOMA.
HomeJamii

KWA AJILI YA VIJANA WOTE JAPO WAZAZI NA WALEZI WANARUHUSIWA KUSOMA.

Ujana ni ngazi ambayo inahitaji umakini mkubwa katika ngazi zote za maisha mwanadamu (maoni binafsi). Ni kipindi ambacho asilim...

NAIBU WAZIRI AWESO, DC ILALA, DAWASA, DAWASCO KUKUTANA KWA DHARURA KUTATUA KERO YA MAJI
MAAFISA UTUMISHI WAASWA KUZINGATIA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO
TANZANIA INATUMIA DAWA ZILIZO SALAMA KWA UHAKIKA MKUBWA









Ujana ni ngazi ambayo inahitaji umakini mkubwa katika ngazi zote za maisha mwanadamu (maoni binafsi).


Ni kipindi ambacho asilimia kubwa ya vijana hufanya mambo ili waonekane na jamii inayowazunguka.

Ni wakati ambao wengi hupoteza muda na mwelekeo wa maisha yao kwa sababu, asilimia kubwa hufanya mambo kwa kufuata mkumbo. 


Wengi hupotea maana ni muda ambao huanza kuwa na maamuzi binafsi. Hapa wazazi na walezi wakijitenga kando, kijana huangamia maana wengi huchagua maovu kuliko mema. 


Kama hujaanza mahusiano, utaanza kwa sababu yule ameanza. Hata kama huna kazi nzuri, utaanza kubagua kazi kwa sababu fulani ana kazi nzuri. Ulevi na uzinzi huanzia katika ngazi ya ujana. Inasikitisha.


Hayo ni machache miongoni mwa mambo mengi ambayo hukatisha mafanikio ya vijama (Me & Ke).

Mimi nasema utumie ujana wako vizuri leo ili kesho usijutie. Najua peke yako huwezi hivyo kaa chini, tafakari, kisha chagua dini ya kweli inayokufaa, kisha anza maisha yako ya ujana ukiwa na mahusiano mema na Mungu.


Pichani ni baadhi ya vijana ambao wametambua ukuu wa Mungu na wamejisamilisha kwake ili awaongoze katika maisha yao. #KuwaKijanaMwema #GeorgeBinagi_GBPazzo #BMG
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KWA AJILI YA VIJANA WOTE JAPO WAZAZI NA WALEZI WANARUHUSIWA KUSOMA.
KWA AJILI YA VIJANA WOTE JAPO WAZAZI NA WALEZI WANARUHUSIWA KUSOMA.
https://scontent.fnbo1-1.fna.fbcdn.net/t31.0-8/15137402_996525617125261_4376003938428345914_o.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/kwa-ajili-ya-vijana-wote-japo-wazazi-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/kwa-ajili-ya-vijana-wote-japo-wazazi-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy