KAMPENI YA BINTI WA KITAA YAFIKA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR, WAELIMISHWA KUZUIA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.
 Mkazi wa Mtaa wa Mvomero Tandika Bi. Rauva Maulid akieleza namna akina baba walivyo na tabia ya kuwarubuni mabinti wenye chini ya umri wa miaka 18 na kuwababishia Mimba,na kuongeza kuwa kwa tandika watoto wengi wanapata mimba wakiwa na miaka kuanzia miaka 12.
HomeJamii

KAMPENI YA BINTI WA KITAA YAFIKA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR, WAELIMISHWA KUZUIA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.

 Mkazi wa Mtaa wa Mvomero Tandika Bi. Rauva Maulid akieleza namna akina baba walivyo na tabia ya kuwarubuni mabinti wenye chini...

MUUGUZI HOSPITAL YA WILAYA YA MBEYA ATIWA MBARONI KWA MADAI AMESABABISHA KIFO CHA MTOTO MCHANGA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AREJEA DAR ES SALAAM
NHC YAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA








 Afisa Mtendaji wa Wilaya ya Tandika Hija Kipeleka akizindua Rasmi kampeni ya Binti wa kitaa katika Wilaya ya Temeke, ambapo aliwashukuru wanaoendesha kampeni hiyo na kuahidi kushirikiana nao katika kupinga mimba na ndoa za utotoni.
 Mkurugenzi Mtendaji wa CVIF George David  Maarufu kwa jina la Ambassador Angelo akielezea kwa kina kampeni ya Binti wa kitaa ilivyo wasaidia mabinti wengi na kutoa ufafanuzi wa kina juu ya kampeni hiyo ambapo kwa sasa inaendelea kuzinduliwa katika Wilaya zilizopo jijini Dar.


 Mkazi wa Mtaa wa Mvomero Said Mgeni akisisitiza kuwa wazazi wanatakiwa kuwa jirani na watoto wao ili waweze kuwa rafiki na kuwaeleza matatizo wanayoyapata kwa sababu kwa kufanya hivyo mabinti watakuwa huru kueleza matatizo mbalimbali ikiwa ni pamoja na tatizo la mimba.
 Aisha mkazi wa Tandika akieleza namna vijana wanavyowarubuni na kuwasumbua ili waweze kushiriki nao katika ngono uzembe.
 Mkazi wa Mtaa wa Sheraton Tandika Fatuma akieleza namna baadhi ya mabinti wenye umri chini ya Miaka 18 wanavyopata mimba kutokana na kurubuniwa kufanya ngono uzembe na kuwapelekea kupata Mimba, na kuwasihi wasiwe wepesi kudanganyika na vijana.

 Binti huyu aliyetambulika kwa jina moja tuu Mwajuma akieleza alivyo achishwa Shule akiwa kidato cha pili kutokana na kukosa fedha za masomo hivyo timu ya Binti wa kitaa kwa kushirikiana na Serikali ya Mtaa wa Tandika kwa pamoja wameungana kumsomesha Binti huyo SIDO kwa kuwa anapenda kuja kuwa mfanyabiashara.

 Anaitwa Amani Muuza Juice ya Miwa maarufu mtaa wa sokoni akielezea jinsi Mimba za utotoni zinavyowaharibia maisha mambinti wenye  umri chini ya Miaka 18, na kuwasihi wananchi wote kuipa sapoti kampeni ya Binti wa kitaa.
Muwezeshaji katika uzinduzi wa kampeni ya Binti wa Kitaa Zero akitoa elimu juu ya kuzuia mimba na ndoa za utotoni.

 Kampeni ya Binti wa Kitaa huwakutanisha Mabinti pamoja na watu wa rika zote, hapa Msema chochote Steven Mfuko  maarufu kwa Jina la Zero akiwa na Bibi Zakia Seif akiwafunda mabinti wenye umri chini ya Miaka 18 kutokuwa na papara ya kukimbilia katika ngono.


 Mmoja ya wageni waliofika katika kampeni ya Binti wa Kitaa Jesca Kitomary alishauri kuwa wazazi wanatakiwa kuwaelimisha mabinti wao juu ya athari za mimba za utotoni  na kuolewa mapema, kwa kufanya hivyo itawasaidia kupata mimba na kuolewa kwa muda.


 Meneja wa Kampeni ya Binti wa Kitaa Mhandisi Eliwanjeria James kutoka kikundi cha wanawake Ma Injinia Tanzania akitoa shukurani kwa wote waliofika katika kufanikisha uzinduzi wa Kampeni ya Binti wa kitaa katika  Wilaya ya Temeke.

 Mwakilishi wa Sunshine Group Fatuma akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Binti wa kitaa Temeke.

 Wakiendelea kufuatilia kwa makini masomo mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Binti wa kitaa.

Baadhi ya watu zaidi wakiwa katika pande mbalimbali wakifuatilia uzinduzi wa kampeni ya Binti wa Kitaa.

 
Baadhi timu ya Binti wa kitaa pamoja na wakazi wa Tandika wakiwa katika picha ya pamoja
(Picha na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPENI YA BINTI WA KITAA YAFIKA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR, WAELIMISHWA KUZUIA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.
KAMPENI YA BINTI WA KITAA YAFIKA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR, WAELIMISHWA KUZUIA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfjCf1xm-zrvRvvdZRS7_upSkMTVXlhX-y2teK54g-EBJ7GscegTZ9GEH1Fi8x9j6aVcnzppzSt8etg6B7LeGi9Tj8jnFqg-q-Vz-cAhy4QLnIv29j0HCFQPxA3scdvF4YNfrW_udZtMQX/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfjCf1xm-zrvRvvdZRS7_upSkMTVXlhX-y2teK54g-EBJ7GscegTZ9GEH1Fi8x9j6aVcnzppzSt8etg6B7LeGi9Tj8jnFqg-q-Vz-cAhy4QLnIv29j0HCFQPxA3scdvF4YNfrW_udZtMQX/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/kampeni-ya-binti-wa-kitaa-yafika-wilaya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/kampeni-ya-binti-wa-kitaa-yafika-wilaya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy