Jengo la ofisi linalojengwa na vijana wa kikundi cha Sarorya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengene...
Jengo
la ofisi linalojengwa na vijana wa kikundi cha Sarorya ikiwa ni sehemu
ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya kufungamana
kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana. Wa Pili
Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan
Omari ambaye aliongoza ujumbe wa NHC katika uhakiki wa shughuli
zinazofanywa na vijana hao baada ya kupewa msaada wa mashine.
Kanisa
lililojengwa na vijana wa kikundi cha Hope Revival - Manispaa ya Musoma
ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza
matofali ya kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada
kwa vijana.

Meneja
wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Benedict Kilimba ya utekelezaji wa mradi wa
vijana wa kufyatua matofali yanayofungamana kupitia ufadhili wa na NHC
wa msaada wa mashine ya kufyatua matofali kwa vijana wa Manispaa ya
Ilemela – Mwanza.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akiwa
katika mahojiano na vyombo vya habari baada ya kuhakiki vikundi vya
vijana wa Ukombozi Vijana Magu kwenye eneo lao la kazi wanalotegemea
kujenga nyumba.
Moja
ya kazi za vijana wa kikundi cha Sarorya - Halmashauri ya Rorya ikiwa
ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya
kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana.
Moja ya Nyumba iliyojengwa na vijana wa kikundi cha Ukombozi Vijana - Halmashauri ya Magu.
Moja ya Nyumba iliyojengwa na vijana wa kikundi cha Ukombozi Vijana - Halmashauri ya Magu.
Nyumba iliyojengwa na kikundi cha Ukombozi Vijana Magu.
Nyumba iliyogengwa na vijana Ukombozi Vijana Halmashauri ya Magu.
Nyumba iliyojengwa na vijana wa kikundi cha JOMUGI Maswa.
Nyumba iliyojengwa na vijana wa Misungwi.
Nyumba ya mwananchi iliyojengwa na vijana Rorya.
Picha ya pamoja na vijana wa kikundi cha Ukombozi Vijana Magu mble ya mojawapo ya nyumba ziliyojengwa na vijana hao
Eneo jingine la kazi ya vikundi cha Ukombozi Vijana Magu.
Eneo la kazi la kufyatua matofali ya vijana wa Misungwi.
Eneo la kazi la kufyatua matofali ya vijana wa Misungwi.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na timu
yake ya NHC akikagua matundu kumi vya choo vilivyojengwa na vijana wa
kikundi Jiendeleze - Halmashauri ya Musoma Vijijini.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Ujumbe
wa NHC wakipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
wa ya Magu Bw. Lutengano Mwalwiba.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Ujumbe
wa NHC wakipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
ya Serengeti Bw. Juma Hamsini.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Ujumbe
wa NHC wakipata maelekezo kutoka kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Biutiama
Bi. Anna Nyamubi.
Ujumbe kutoka NHC ukizungumza na Mkurugenzi Halmashauri ya Mji wa Tarime Bw. Fidelica Myovella.
Ujumbe wa NHC ukipata maelekeo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rorya Bw. Gasper Mago.
COMMENTS