TANZANIA NA INDIA KUDUMISHA USHIRIKIANO MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
HomeJamii

TANZANIA NA INDIA KUDUMISHA USHIRIKIANO MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

NA MWANDISHI MAALUM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  amesema serikali itaen...

“SEEING THE UN DELIVERING AS ONE IN DAR ES SALAAM, DODOMA AND KIGOMA”
ZANZIBAR PRESIDENT DR SHEIN OPENS A NORWEGIAN-FUNDED PEDIATRIC WARD AT MNAZI MMOJA HOSPITAL
JAMII YAASWA KUFANYA KAZI KWA UAUDILIFU ILI KUJIJENGEA HESHIMA KATIKA JAMII




NA MWANDISHI MAALUM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  amesema serikali itaendelea kudumisha uhusiano na ushirikiano wa kihistoria  kati ya Tanzania na India ambayo yamedumu kwa muda mrefu hasa katika sekta mbalimbali ikiwemo za elimu, afya na biashara.

Makamu wa Rais ametoa kauli hiyo leo 25-Oct-2016 wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Sandeep Arya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais amesema mahusiano kati ya Tanzania na India yamesaidia kunufaisha wananchi wa nchini mbili hasa katika masuala ya kibiashara,miradi ya maendeleo na hivyo mahusiano hayo ni muhimu yakaendelezwa na kudumishwa.

Makamu wa Rais katika mazungumzo na balozi huyo wa India hapa nchini Sandeep Arya pia ameiomba serikali kuisaidia Tanzania katika mpango utakaosaidia wakulima kupata taarifa mbalimbali zinazohusu kilimo na masoko ya bidhaa zao kupitia simu za mkononi ili kuondoa usumbufu mkubwa wanaopata wakulima kwa sasa hasa kuhusu masoko.

Kwa upande wake, Balozi wa India nchini Tanzania Sandeep Arya amemhakikishia Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan serikali yake itakuwa bega kwa bega na Tanzania katika kuhakikisha wananchi wa pande Mbili wananufaika na mahusiano yaliyopo.

Balozi Sandeep Arya amesisitiza kuwa serikali ya India itaendelea kuisaidia Tanzania katika uimarishaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano pamoja na miradi ya maendeleo na uimarishaji wa shughuli za kiuchumi.

Wakati huo huo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sudan nchini Tanzania Mahgoub Sharfi mazungumzo yaliyolenga pamoja na mambo mengine kuhusu namna ya kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na Sudan.
Pichani Makamuwa Rais, akiwa na mazungumzo na Baloziwa Indianchini Tanzania, Sandeep Arya, Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 25, 2016. (PICHA NA VPO)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANZANIA NA INDIA KUDUMISHA USHIRIKIANO MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
TANZANIA NA INDIA KUDUMISHA USHIRIKIANO MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIKbN1bH7gBbo5PFuffY7afuKAn-y4_-piGaE4RPhRgucgD4WvJEp_yxyeOohRndHXLKEd0H9cEn8lGActMopsTrkrHIUfcM5kMURUz4lrB6GKEZijPGJVyWQgXKjPdSjMMpH_jUDLDu0/s640/WhatsApp+Image+2016-10-25+at+4.14.56+AM.jpeg.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIKbN1bH7gBbo5PFuffY7afuKAn-y4_-piGaE4RPhRgucgD4WvJEp_yxyeOohRndHXLKEd0H9cEn8lGActMopsTrkrHIUfcM5kMURUz4lrB6GKEZijPGJVyWQgXKjPdSjMMpH_jUDLDu0/s72-c/WhatsApp+Image+2016-10-25+at+4.14.56+AM.jpeg.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tanzania-na-india-kudumisha-ushirikiano.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/tanzania-na-india-kudumisha-ushirikiano.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy