Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye, akizungumza na Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii pamo jan...
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye,
akizungumza na Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii pamo jana Uongozi wa Shirika
la Utangazaji la Taifa, (TBC), wakati kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe.
Peter Serukamba (Mb) ilipotembelea Shirika hilo Jijini Dar esSalaam leo Machi
16, 2017.
Pamoja
na mambo mengine, Waziri Nape ameieleza kamati hiyo kamati kuwa mapitio ya
mkataba kati ya TBC na kampuni ya Statimes yatamalizika mwezi huu wa machi.
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania,(TBC), Dkt.
Ayoub Ryoba, akieleza utendaji kazi wa Shirika kwa Kamati ya
Bunge ya Maendeleo ya Jamii.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba, (Mb) akizungumza.
COMMENTS