WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA MJINI DODOMA
HomeJamii

WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA MJINI DODOMA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi wakati wa m...

MAPORI MATANO YA AKIBA MKOANI KAGERA NA GEITA KUPANDISHWA HADHI YA KUWA HIFADHI ZA TAIFA (NATIONAL PARKS)
NAIBU SPIKA, DKT. TULIA AZUNGUMZA NA BAADHI YA WANACHAMA WA CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA LEO OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA.
TAASISI YA UHUSIANO WA UMMA TANZANIA (PRST) KUADHIMISHA WIKI YA MAWASILIANO AFRIKA MEI 25, 2018 JIJINI DAR

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi wakati wa mkutano wa sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu TFS uliofanyika leo mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki na Mtendaji Mkuu wa Wakala hiyo, Prof. Dos Santos Silayo (wa tatu kulia).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akihutubia baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania mjini Dodoma leo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Prof. Dos Santos Silayo akihutubia baraza hilo.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki akihutubia baraza hilo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania waliohitimu mafunzo ya Jeshi Usu hivi karibuni wakati wa mkutano wa sita wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala huyo uliofanyika leo mjini Dodoma. 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa pili kulia) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Aloyce Nzuki muda mfupi baada ya kufungua baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania mjini Dodoma leo. 

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA MJINI DODOMA
WAZIRI KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA MJINI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbYgt7mLkE-VlWAgNde_BIB1xd9K0ul3Vfb7gWJBvJewLdDVRkhozujTD6uOZrxTpiyLClB5P9vzjmnbdr9Wf4Bdnu5EpSBpjVorxHodjYpwG-FPiHun297erPizjBwXKFxcKN5anXRyl-/s640/_DSC3122.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbYgt7mLkE-VlWAgNde_BIB1xd9K0ul3Vfb7gWJBvJewLdDVRkhozujTD6uOZrxTpiyLClB5P9vzjmnbdr9Wf4Bdnu5EpSBpjVorxHodjYpwG-FPiHun297erPizjBwXKFxcKN5anXRyl-/s72-c/_DSC3122.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/waziri-kigwangalla-afungua-mkutano-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/waziri-kigwangalla-afungua-mkutano-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy