Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Jerry Sabi (aliyesim...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. Jerry Sabi (aliyesimama), akiongea na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wanafunzi . Bodi hiyomimetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ikiwa ni pamoja na kutoa muongozo na sifa za muombaji kabla ya kujaza fomu ya kuomba mmkopo huo kwa mwaka wa masomo 2016/2017. (PICHA YA MAKTABA)
Makao makuu ya HELSB, Barabara ya Sam Nujoma Mwenge jijini Dar es Salaam.
COMMENTS