SIKU YA WADAU WA WINDHOEK ILIVYOFANYIKA HOTEL YA PROTEA COURTYYARD JIJINI DAR ES SALAAM

SIKU YA WADAU WA WINDHOEK ILIVYOFANYIKA HOTEL YA PROTEA COURTYYARD JIJINI DAR ES SALAAM

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benadicta Rugemalira, akizungumza na wadau wa w...

MKUTANO WA BARAZA KUU LA 24 LA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WAFUNGWA RASMI DAR ES SALAAM
MSD WAASWA KUBORESHA UPATIKANAJI DAWA NCHINI
WAMACHINGA DAR ES SALAAM WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUWARUHUSU KUFANYA BIASHARA BILA KUBUGUDHIWA






 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benadicta Rugemalira, akizungumza na wadau wa windhoek Dar es Salaam jana katika siku ya wadau iliyofanyika Hoteli ya Protea Courtyyard.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibi Beer Wines and Spirits Ltd, Jerome Rugemalira akizungumza na wadau hao katika hafla hiyo.
 Mdau wa Windhoek Frank Kamugisha akitoa neno katika 
hafla hiyo.
 Meneja wa Kampuni hiyo, Mr Ruta akizungumza katika hafla hiyo.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Mabibo na wadau wa windhoek wakifurahia siku hiyo ya wadau.
 Hapa ni furaha tu kwa kwenda mbele.
 Hafla ikiendelea.
 Kikosi cha Windhoek Cultural Troup kikitoa burudani
 Hapa ni Windhoek kwa kwenda mbele meza zimekamilika.
 Kila mtu na jambo lake kinywaji mkononi.
 Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Mabibo, Benedicta Rugemalira akiwashukuru wadau wa windhoek.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Jerome Rugemalira (kulia), akionesha chupa ya windhoek iliyopo sokono yenye mwonekano mpya lakini kinywaji ni kilekile. Wengine ni wadau wa Windhoek.
 Kikosi kazi cha mauzo cha kampuni hiyo.
 Nifuraha tupu kinywaji mkononi.
 Mwenyekiti wa bodi na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Jerome Rugemalira wakiteta jambo. Mbali ya vyeo hivyo hao ni mama na mtoto wake.
 Ni furaha tupu.


Hapa ni kusakata Rhumba

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SIKU YA WADAU WA WINDHOEK ILIVYOFANYIKA HOTEL YA PROTEA COURTYYARD JIJINI DAR ES SALAAM
SIKU YA WADAU WA WINDHOEK ILIVYOFANYIKA HOTEL YA PROTEA COURTYYARD JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgO9cCrWBvlnyTqSX_wYZWUJ0e1q7u9AMkg4NHM1HIESSY7GPfcmXs6NXEKKpOJrj9-D5HQESTs9Ok7Sq6NyEg1JMRae0GxNCsNCpVvjDJecF2AtHiLLaW7nUmZ2tC9nQ6ox_CWplA7tZmg/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgO9cCrWBvlnyTqSX_wYZWUJ0e1q7u9AMkg4NHM1HIESSY7GPfcmXs6NXEKKpOJrj9-D5HQESTs9Ok7Sq6NyEg1JMRae0GxNCsNCpVvjDJecF2AtHiLLaW7nUmZ2tC9nQ6ox_CWplA7tZmg/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/05/siku-ya-wadau-wa-windhoek-ilivyofanyika.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/05/siku-ya-wadau-wa-windhoek-ilivyofanyika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy