Bondia Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' (kulia) akiwa na rais wa PST Emanuel Mlundwa pamoja na kocha wake baaa ya k...
 |
| Bondia Sajjad
Mehrab kutoka 'Irani' (kulia) akiwa na rais wa PST Emanuel Mlundwa pamoja
na kocha wake baaa ya kutua nchini kwa ajili ya kugombania mkanda wa
ubingwa wa Dunia na Thomas Mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa
taifa. |
Bondia Sajjad
Mehrab kutoka Iran kulia akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa
ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali Mei 14 katika uwanja wa ndani wa
Taifa.
Bondia Sajjad
Mehrab kutoka Iran akiongea na wahandishi wa habari mara baada ya
kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas
Mashali utakaofanyika Mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
 |
Bondia Sajjad
Mehrab kutoka Iran akiongea na wahandishi wa habari mara baada ya
kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas
Mashili utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
|
Bondia Sajjad
Mehrab kutoka Iran akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa
ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa
Taifa. (Picha na SUPER D BOXING NEWS)
COMMENTS