MHE. EDWARD LOWASSA NA WATANGAZA NIA WENZAKE WACHUKUA FOMU CCM DODOMA LEO, YUMO MAKAMU WA RAIS DK BILAL, DKT MAGUFULI NA WENGINE

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akipokea mkoba wenye fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka k...









Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akipokea mkoba wenye fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Dk Muhammad Seif Khatibu, Katibu wa Oganaizesheni ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma leo.

Mwanafunzi wa Cho Kikuu cha Mzumbe, Amos Siyatemi akionesha mkoba wenye fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka baada ya kukabidhiwa na Dk Muhammad Seif Khatibu, Katibu wa Oganaizesheni ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma leo.
Balozi Ali Aman Abeid Karume akionesha naye mkoba wa wenye fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka baada ya kukabidhiwa na Dk Muhammad Seif Khatibu, Katibu wa Oganaizesheni ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma leo.

Waziri Mkuu wa zamani Fredrick Sumaye akionesha mkoba wenye fomu za kugombea urais baada ya kukabidhiwa mjini Dodoma leo.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiongea baada ya kupokea mkoba wenye fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma leo. Pamoja naye ni Mke wake Mama Regina Lowassa.





Waziri Mkuu wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli akionesha mkoba mkoba wenye fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuupokea kutoka kwa, Dk Muhammad Seif Khatibu, Katibu wa Oganaizesheni ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mjini Dodoma leo.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo Juni 4, 2015 kwa ajili ya kuchukua fomu hizo. Kushoto ni Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, baada ya kukabidhiwa mkoba huo na Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib, kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo, Juni 4, 2015.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma leo kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa Fomu hizo. Kulia ni Mzee wa Chama cha Mapinduzi, Ramadhan Suleiman Nzori.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma leo kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa Fomu hizo. Kulia ni Mzee wa Chama cha Mapinduzi, Ramadhan Suleiman Nzori.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waandishi wa Habari kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, baada ya kuchukua fomu, leo Juni 4, 2015. Kulia ni Mzee wa Chama cha Mapinduzi, Ramadhan Suleiman Nzori.


Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia uchukuaji fomu

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kushuhudia uchukuaji fomu

Baadhi ya wana CCM waliohudhuria Mkutano wa Makamu wa Rais Dkt. Bilal. alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.


Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwaaga wanachama wa CCM na wanahabari, wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, baada ya kuzungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu za kuwania urais.


Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomy za kusaka wadhamini, mmoja kati ya vijana waliojitolea kusambaza fomu za kutafuta wadhamini, Saada Ilasi, baada ya mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma.


(Picha na OMR)


















COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MHE. EDWARD LOWASSA NA WATANGAZA NIA WENZAKE WACHUKUA FOMU CCM DODOMA LEO, YUMO MAKAMU WA RAIS DK BILAL, DKT MAGUFULI NA WENGINE
MHE. EDWARD LOWASSA NA WATANGAZA NIA WENZAKE WACHUKUA FOMU CCM DODOMA LEO, YUMO MAKAMU WA RAIS DK BILAL, DKT MAGUFULI NA WENGINE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtjB4nmH1OH6d5U6-8x_LK0d_gwpI5cautRTfadxLCusfbbG8T0ckO4Ct2IbPW9vFQaToafg5aFF7DiAheHuQjBNG07jCkcs8Q8ipJDQ44LWyM3eOLsfaQ7n_VUzhkLkIrx60W3urQsBbE/s640/LOW+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtjB4nmH1OH6d5U6-8x_LK0d_gwpI5cautRTfadxLCusfbbG8T0ckO4Ct2IbPW9vFQaToafg5aFF7DiAheHuQjBNG07jCkcs8Q8ipJDQ44LWyM3eOLsfaQ7n_VUzhkLkIrx60W3urQsBbE/s72-c/LOW+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/06/edward-lowassa-na-watangaza-nia-wenzake.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/06/edward-lowassa-na-watangaza-nia-wenzake.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy