Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano w...
 |
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job
Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea
nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajilia ya
uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
 |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe Job Ndugai pamoja na Mke wake Dkt. Fatma Mganga
(kulia) alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea
nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya
uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake. (Picha kwa hisani ya Bunge) |
|
 |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job
Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es Salaam
kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi
karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. |
 |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job
Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam
kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi
karibuni akitoka India kwa matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Bunge) |
 |
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman akisalimiana na
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika
kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Spika Dkt Fatma
Mganga. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda
kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman aliyefika kumsabai
nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka
India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake. |
 |
| Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman aliyefika kumsabai
nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka
India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake. |
 |
| Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akifurahia jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman aliyefika kumsabai
nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka
India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja na matibabu ya Afya yake. (Picha na
Ofisi ya Bunge) |
COMMENTS