Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Alhad Mussa Salum akitoa mawaidha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Ma...
 |
| Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhaj Alhad Mussa Salum akitoa mawaidha wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. |
 |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka shada la mauwa katika kaburi la marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume, wakati wa hitma na
dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar huko Kisiwandui Mjini Zanzibar. |
 |
| Rais
wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,
(wa pili kulia) akiagana na Rais wa Tanzania Dk.
Jakaya Kikwete, baada ya kumalizika kwa hafla ya hitma ya Rais wa Kwanza
wa Zanzibar hayati mzee Abeid Amani Karume, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM
Kisiwandui mjini Unguja |
 |
| Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk. Mohamed
Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua wakati wa maadhimisho
ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) katika Makao Makuu ya CCM Kisiwandui
Zanzibar April 7, 2013. |
 |
Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Dk. Mohamed
Ali Shein na viongozi wengine wa juu wakisoma dua wakati wa maadhimisho
ya Siku ya Mashujaa (Karume Day).
|
COMMENTS