JOSEPH KUSAGA ASHEREHEKEA BIRTHDAY YA MTOTO WAKE ZALEX

JOSEPH KUSAGA ASHEREHEKEA BIRTHDAY YA MTOTO WAKE ZALEX  Mtoto Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Baba yake Bwana, Joseph Kusa...

JOSEPH KUSAGA ASHEREHEKEA BIRTHDAY YA MTOTO WAKE ZALEX

 Mtoto Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Baba yake Bwana, Joseph Kusaga mapema jioni ya jana mara baada ya wageni waalikwa mbalimbali kupata futari ya pamoja ndani Escape Two, Mbezi jijini Dar, na baadae ikafuatia hafla ndogo ya mtoto Zalex ambaye alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
 Zalex akimlisha keki Mama yake Mdogo,Bi. Mariam Shamo
 Zalex akikata keki huku akiwa amezungukwa na watoto wenzake waliofika kushiriki nae kwenye hafla hiyo ya siku ya kuzaliwa.
 Mtoto Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Mama yake,Bi Juhayna Kusaga 
 Dada yake Zalex, Natalia akisaidia kukata keki
 Watoto wakiimba kwa pamoja.
 Mama yake Zalex, Bi Juhayna Kusaga akiwasha mishumaa
 Ndugu jamaa na marafiki wakipata futari ya pamoja.
  Ndugu jamaa na marafiki wakipata futari ya pamoja.
 Picha ya ukumbusho
 wadau wa hafla hiyo wakiendelea kuchat,kulia ni Da Suzzy na bi.Rahmat pamoja na mdau
 Picha ya pamoja ya marafiki katika hafla hiyo
 Picha ya pamoja ya marafiki katika hafla hiyo. (Imeandaliwa na Mudini Issa Michuzi)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JOSEPH KUSAGA ASHEREHEKEA BIRTHDAY YA MTOTO WAKE ZALEX
JOSEPH KUSAGA ASHEREHEKEA BIRTHDAY YA MTOTO WAKE ZALEX
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj84AI5wwDgF6ZSzOF93bqYdV4iTkiuF9fxN6dYc76K-QSL5JHsmzkwmkxVtLh4bj344MLoiPxjQn_O2ToqH6-QlpHv8CzBModl8_3T5u9or5EZbfaazS_BlSrXEBMRvINPOHcnCFelEmQ/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj84AI5wwDgF6ZSzOF93bqYdV4iTkiuF9fxN6dYc76K-QSL5JHsmzkwmkxVtLh4bj344MLoiPxjQn_O2ToqH6-QlpHv8CzBModl8_3T5u9or5EZbfaazS_BlSrXEBMRvINPOHcnCFelEmQ/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/07/joseph-kusaga-asherehekea-birthday-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/07/joseph-kusaga-asherehekea-birthday-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy