Makamu Mwenyekiti wa Kikosi kazi cha Kitaifa cha Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma Bw. Joseph Kiraiya (watatu kutoka kushoto) akieleza ja...
![]() |
Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania wakiweka nguzo ya umeme katika eneo la Ihumwa ambalo limetengwa kwa ajili ya mji wa serikali Dodoma.
|
![]() |
Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania wakiweka nguzo ya umeme katika eneo la Ihumwa ambalo limetengwa kwa ajili ya mji wa serikali Dodoma.
|
Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Kitaifa cha Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma Bw. Nigel Msangi akipata maelezo ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Mji wa Serikali kwa Kikosi kazi kutokana na ramani ya Mji wa Serikali walipotembelea kukagua eneo hilo Ihumwa, Dodoma.
![]() |
Muonekano wa barabara itakayojengwa kwa kiwango cha lami ambayo itatumika katika Mji huo wa Serikali, Ihumwa Dodoma.
|
![]() |
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya kuratibu Mpango wa Serikali kuhamia Dodoma wakiangalia maeneo mbalimbali yaliyotengwa kulingana na ramani ya Mji mpya wa Serikali Ihuma Dodoma.
|
![]() |
Eneo la Ihumwa ambapo Mji wa kiserikali unatarajia kujengwa hapo Jijini Dodoma. |
COMMENTS