WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAUAGA MWILI WA MFANYAKAZI MWENZAO AMBAYE NI DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI ALIYEFARIKI TAREHE 02/05/2018.
HomeJamii

WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAUAGA MWILI WA MFANYAKAZI MWENZAO AMBAYE NI DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI ALIYEFARIKI TAREHE 02/05/2018.

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mfanyakazi mwenzao ambaye ni Daktari bingwa wa ...

PIKIPIKI ZALETA MAFANIKIO KATIKA SEKTA YA ELIMU.
SERIKALI IMESEMAINAFANYA JUHUDI ZA KUOKOA WATU 14 WALIOFUKIWA GEITA
MAHAFALI YA 32 YA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT).












Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mfanyakazi mwenzao ambaye ni Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Onesmo Mhewa aliyefariki tarehe 02/05/2018 jijini Dar es Salaam. Dkt. Onesmo anatarajiwa kuzikwa kesho tarehe 5/5/2018 katika kijiji cha Nzihi kilichopo Iringa vijijini.



Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakielekea katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kuchukuwa jeneza lenye mwili wa mfanyakazi mwenzao ambaye ni Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Onesmo Mhewa aliyefariki tarehe 02/05/2018.


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiimba wimbo wa maombolezo kabla ya kwenda katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kuchukuwa jeneza lenye mwili wa mfanyakazi mwenzao ambaye ni Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Onesmo Mhewa aliyefariki tarehe 02/05/2018 .





Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto Naiz Majani na Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto Godwin Sharau wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambao ni marafiki wa karibu wa Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Marehemu Onesmo Mhewa wakieleza jinsi walivyofanya kazi kwa ukaribu na marehemu wakati wa halfa fupi ya kumuaga iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) lililopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa na sura za majonzi wakati wa hafla fupi ya kuuaga mwili wa Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Onesmo Mhewa iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) lililopo Hospitali ya Taifa Muhimbili . Dkt. Onesmo anatarajiwa kuzikwa kesho tarehe 5/5/2018 katika kijiji cha Nzihi kilichopo Iringa vijijini.



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAUAGA MWILI WA MFANYAKAZI MWENZAO AMBAYE NI DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI ALIYEFARIKI TAREHE 02/05/2018.
WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAUAGA MWILI WA MFANYAKAZI MWENZAO AMBAYE NI DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI ALIYEFARIKI TAREHE 02/05/2018.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUOlEPglxW6XF6E7JhJy-Fc2TsUVfsPAtOLwuagmtEu45pA_bXZpGNePIlBtWse_ofO6tRfDcI47kzQK7Nju-8Z4mdlwBPjyeWFXkKQHUIW_AYsOt969BnjtfIR77lGnZT3ronqUV0aDM/s640/Picha+no.+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUOlEPglxW6XF6E7JhJy-Fc2TsUVfsPAtOLwuagmtEu45pA_bXZpGNePIlBtWse_ofO6tRfDcI47kzQK7Nju-8Z4mdlwBPjyeWFXkKQHUIW_AYsOt969BnjtfIR77lGnZT3ronqUV0aDM/s72-c/Picha+no.+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/wafanyakazi-wa-taasisi-ya-moyo-jakaya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/wafanyakazi-wa-taasisi-ya-moyo-jakaya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy