UJUMBE WA WIZARA YA NYUMBA NA MIUNDOMBINU NCHINI ZAMBIA WATEMBELEA SEKTA YA UJENZI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Dkt. William Nshama, akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu pamoja na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), nchini Zambia walipotembelea Wizarani hapo, mkoani Dodoma.
HomeJamii

UJUMBE WA WIZARA YA NYUMBA NA MIUNDOMBINU NCHINI ZAMBIA WATEMBELEA SEKTA YA UJENZI

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Dkt. William Nshama, akizungumza na ujumbe kutoka Wiz...

BURIAN ANATOLIA NSEKA KAPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU
SERIKALI YAONGEZA MUDA WA UHAKIKI WA NGO’s
DKT. SHEIN AHUTUBIA BARAZA LA EID ADH'HA HUKO FUMBA MJINI UNGUJA




Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Ufuatiliaji kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu nchini Zambia,  Bw. Charles Mweshi, akiuliza swali kwa watendaji wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), kuhusu matumizi ya teknolojia stahiki ya nguvukazi katika kazi za ujenzi wa barabara, wakati walipotembelea wizarani hapo kwa ziara ya mafunzo, mkoani Dodoma.

Ujumbe kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), nchini Zambia wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Dkt. William Mshama (hayupo pichani), wakati walipotembelea wizarani hapo kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo kazi za ujenzi wa barabara, mkoani Dodoma.


Mkurugenzi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Happiness Mgalula, akitoa uzoefu wa matumizi ya teknolojia stahiki ya nguvukazi katika kazi za ujenzi wa barabara kwa ujumbe kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), nchini Zambia, mkoani Dodoma.


Meneja wa Kanda ya Kati kutoka Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB), Mhandisi David Msekeni, akitoa mchango wa kitaalam kwenye  sekta ya ujenzi wa barabara kwa ujumbe kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), nchini Zambia, wakati walipotembela wizarani hapo kwa ziara ya mafunzo, mkoani Dodoma


Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akisalimiana na ujumbe kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), nchini Zambia walipotembelea Wizarani hapo kwa ziara ya mafunzo, mkoani Dodoma.


Sehemu ya wajumbe wa menejimenti ya Sekta ya Ujenzi, wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), nchini Zambia walipotembelea Wizarani hapo, mkoani Dodoma.


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Dkt. William Mshama, akiagana na ujumbe kutoka Wizara ya Nyumba na Miundombinu na Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), nchini Zambia walipotembelea Wizarani hapo, mkoani Dodoma. (IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO)


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UJUMBE WA WIZARA YA NYUMBA NA MIUNDOMBINU NCHINI ZAMBIA WATEMBELEA SEKTA YA UJENZI
UJUMBE WA WIZARA YA NYUMBA NA MIUNDOMBINU NCHINI ZAMBIA WATEMBELEA SEKTA YA UJENZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEih_oo4Kuyqek1hpXUn_UHgeVecU9TSLDWkDGY5IGzemqtyqxypNcQUJDnekUk_-7JFhhjBuMs3jeOLgX7tuK7QLtIXopq9_FOpWRG2EhldkvW649OJLi7jtKjPvNEX_LQ5D0-_376UHsU/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEih_oo4Kuyqek1hpXUn_UHgeVecU9TSLDWkDGY5IGzemqtyqxypNcQUJDnekUk_-7JFhhjBuMs3jeOLgX7tuK7QLtIXopq9_FOpWRG2EhldkvW649OJLi7jtKjPvNEX_LQ5D0-_376UHsU/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/ujumbe-wa-wizara-ya-nyumba-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/ujumbe-wa-wizara-ya-nyumba-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy