UFUNGUZI WARSHA YA MAAFISA HABARI ATAWAS
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Jiji la Dododma (DUWASA) Mhandisi David Palangyo akifungua warsha ya siku mbili ya kuwajengea uwezo maafisa habari wa Mamlaka za Maji Tanzania (ATAWAS) iliyofanyika leo Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassan Abbasi na kushoto ni Katibu Mtendaji wa ATAWAS, Martha Kubuzya.
HomeJamii

UFUNGUZI WARSHA YA MAAFISA HABARI ATAWAS

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Jiji la Dododma (DUWASA) Mhandisi David Palangyo akifungua warsha ya siku mbili ya ku...

HARUSI YA ABDALLAH MRISHO NA CATHERINE, ILIVYONOGA
MZEE RUKSA AWAASA WAZEE WENZAKE NA JAMII KWA UJUMLA
JAMII YATAKIWA KUIFANYA LUGHA YA ALAMA KUWA KISWAHILI CHA PILI KUWAWEZESHA VIZIWI KUPATA TAARIFA


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Jiji la Dodoma (DUWASA) Mhandisi David Palangyo (Katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya siku mbili ya kuwajengea uwezo maafisa habari wa Mamlaka za Maji Tanzania (ATAWAS) wakati wa ufunguzi wa warsha hiyo iliyofanyika leo Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassan Abbasi na kulia ni Katibu Mtendaji wa ATAWAS, Martha Kubuzya.


Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassan Abbasi akitoa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisa habari wa Mamlaka za Maji Tanzania (ATAWAS) wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku mbili iliyofanyika leo Jijini Dodoma.

Baadhi ya  washiriki wa warsha ya siku mbili ya kuwajengea uwezo maafisa habari wa Mamlaka za Maji Tanzania (ATAWAS) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka ya Jiji la Dododma (DUWASA) Mhandisi David Palangyo (hayupo pichani) alipokuwa akifungua warsha hiyo leo Jijini Dodoma.




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UFUNGUZI WARSHA YA MAAFISA HABARI ATAWAS
UFUNGUZI WARSHA YA MAAFISA HABARI ATAWAS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHSS4oj5JMm_w99v9z6-nkay1_CX6lYJ0VVg3ftXHNTRQMNu_5hz87xFL9j7UD0PSBxZGScuf8zeWKrOOhq-hbK08xv3cUsunnj0LhyM8yH4nmm9VxUBAcLukaH0zdC2ILVpZDtjOQ4L0/s640/PIC+01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHSS4oj5JMm_w99v9z6-nkay1_CX6lYJ0VVg3ftXHNTRQMNu_5hz87xFL9j7UD0PSBxZGScuf8zeWKrOOhq-hbK08xv3cUsunnj0LhyM8yH4nmm9VxUBAcLukaH0zdC2ILVpZDtjOQ4L0/s72-c/PIC+01.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/ufunguzi-warsha-ya-maafisa-habari-atawas.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/ufunguzi-warsha-ya-maafisa-habari-atawas.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy